Irene Uwoya kuwekeza kwenye mall

Irene Uwoya kuwekeza kwenye mall

Status
Not open for further replies.
Ndo hapo sasa ngoja atemane na Ze Don atahaha huyu, na huwa anachafuka na kupauka mnoo, sema mganga wake kibokoo, maana huwa akija kushine anakutana na bopa la maana.
Uwoya ana kismati cha mapeneee, tatizo akili halina hili li dada linaniuzi mnoo.
Hajielewi na hizi Mambo huisha tu mbonaa !!angekua anajielewa angekua mbaali sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom