Irene Uwoya kuwekeza kwenye mall

Irene Uwoya kuwekeza kwenye mall

Status
Not open for further replies.
Hajui tu SEMA zile Pesa Kama Zina mashetani vileee!!!yaani wanainjoi machawa tuu
Machawa wepi? Machawa wanakula zao kwa kazi yao binafsi.
Sema dadaz wa bongo akili kisoda, wanapitwa had na huddah na vera khaaah
 
Hamna unamwoneaga wivu sana cjui kwann kwani alikufanya nini?
Hapana nampendaga mnoo Ila Mambo yake tu demu anapata Pesa Sanaa!!maana mgodi alokua nao Sasa hivi anatema Pesa balaaa!!!ngosha huyooo!!!
Kwa uzuri mzuri Sana Irene shida show off nyingi Ila Ana roho nzuri mnoo akikupenda na hana Nye Nye Nye!!
 
Machawa wepi? Machawa wanakula zao kwa kazi yao binafsi.
Sema dadaz wa bongo akili kisoda, wanapitwa had na huddah na vera khaaah
Weeeeh!bado anawapa pia shogaaa kwa story za ndani ingawa nao ndo vile Akina mjomba mareshii km Yule mnyaki[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]choko mpk hajieleweli
 
Chanzo chake cha mapato ni nini?.

Kama kuna akaunti anayomiliki ambapo Watu wanachangia niambieni nami nichangie....ali mradi nipewe risiti ya efd.
 
Weeeeh!bado anawapa pia shogaaa kwa story za ndani ingawa nao ndo vile Akina mjomba mareshii km Yule mnyaki[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]choko mpk hajieleweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila aristoteee ananiachaga hoi, sio kwa kujishaua kwa uwoyaa, yaan had uwoyaa mwenyewe kamchoka. Lol

Atakuja juta vibaya huyu dada, wee muache tyuuh.
 
We coca angalia hata mpira upunguze stress!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom