Irene Uwoya kuwekeza kwenye mall

Irene Uwoya kuwekeza kwenye mall

Status
Not open for further replies.
Mwanangu una mawazo Kama yangu, huwa nashangaa watu wanasema Paula ni pisi Ila Mimi naona uwoya,kajala na mishangazi Kama hiyo ndio pisi kali
[emoji23][emoji23][emoji23]halafu haisumbuagi.

uzuri tunagawana mabro,ma uncle na mabamdogo wanataka vitoto vya 18s-30.sisi wengine tunascan kwenye 35+ na kuendelea.
 
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] uwoya huyu amiliki mall? Show off atafanya mda gan? But nimeelewa ulichokusudia kuleta, woiiiiiiii
Coca
 
Celebrity wa kike tajiri Tanzania bara na visiwa vyake Irene uwoya rasmi sasa anajikita katika uwekezaji wa biashara ya mall nchini Tanzania. Katika maeneo ambayo ameona patafaa ni kigamboni au mbezi beach. Pia tajiri huyo wakike ameunda timu ya watu 10 wakiwemo wachumi na wanasiasa kwaajili ya kuangalia uwezekano wa kuinunua quality mall na kuifufua upya!

Yani huyu muuza papuchi ndio anunue mall? Gimme a break.
 
Janjaro alifaidi sana.

Enewei kama ni kweli hongera zake sana.
 
Celebrity wa kike tajiri Tanzania bara na visiwa vyake Irene uwoya rasmi sasa anajikita katika uwekezaji wa biashara ya mall nchini Tanzania. Katika maeneo ambayo ameona patafaa ni kigamboni au mbezi beach. Pia tajiri huyo wakike ameunda timu ya watu 10 wakiwemo wachumi na wanasiasa kwaajili ya kuangalia uwezekano wa kuinunua quality mall na kuifufua upya!

Yani huyu muuza papuchi ndio anunue mall? Gimme a break. Unless unamaanisha kiduka pale sinza Mori.

Huyu ameamua kuishi kwa kudanga biashara hawezi kabisa .
 
Mall pekee anayo na atakayo miliki ni huo msambwanda wake tuu hayo mengine yanahitaji akil ya ziada.
 
Yani huyu muuza papuchi ndio anunue mall? Gimme a break. Unless unamaanisha kiduka pale sinza Mori.

Huyu ameamua kuishi kwa kudanga biashara hawezi kabisa .
We unajua anamiliki nini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom