Sasa mwanangu mbona hii number plate ni editing kulikuwa na haja gani ya boss wako kufanya hivyo?Celebrity wa kike tajiri Tanzania bara na visiwa vyake Irene uwoya rasmi sasa anajikita katika uwekezaji wa biashara ya mall nchini Tanzania. Katika maeneo ambayo ameona patafaa ni kigamboni au mbezi beach. Pia tajiri huyo wakike ameunda timu ya watu 10 wakiwemo wachumi na wanasiasa kwaajili ya kuangalia uwezekano wa kuinunua quality mall na kuifufua upya!View attachment 2239305View attachment 2239306
Celebrity wa kike tajiri Tanzania bara na visiwa vyake Irene uwoya rasmi sasa anajikita katika uwekezaji wa biashara ya mall nchini Tanzania. Katika maeneo ambayo ameona patafaa ni kigamboni au mbezi beach. Pia tajiri huyo wakike ameunda timu ya watu 10 wakiwemo wachumi na wanasiasa kwaajili ya kuangalia uwezekano wa kuinunua quality mall na kuifufua upya!View attachment 2239305View attachment 2239306
Wivu wapi bwana chama, sina muda wa wivu na mwanamke nimeuliza tu uhalisia kuna sababu gani ya kuphotoshop number plate kwa kutumia adobe?Acha wivu mkuu!
Mwanangu una mawazo Kama yangu, huwa nashangaa watu wanasema Paula ni pisi Ila Mimi naona uwoya,kajala na mishangazi Kama hiyo ndio pisi kaliIla jamani kuna wanawake wamejaliwa na mnyaaaaazi MUNGU..Irene kila akizeeka anazidi kuwa mrembo[emoji39]
Mkuu sorry nipo nje ya mada
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Na hela pia zinamfanya aonekane kijana!Ila jamani kuna wanawake wamejaliwa na mnyaaaaazi MUNGU..Irene kila akizeeka anazidi kuwa mrembo[emoji39]
Mkuu sorry nipo nje ya mada
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Anazoongwa?Na hela pia zinamfanya aonekane kijana!
Janjaro alifaidi snMwanangu una mawazo Kama yangu, huwa nashangaa watu wanasema Paula ni pisi Ila Mimi naona uwoya,kajala na mishangazi Kama hiyo ndio pisi kali
Dogo Janja mpk Kuna mstari aliimba'unanipaga mpk mambo ya uwani'.Janjaro alifaidi sn
Na hela pia zinamfanya aonekane kijana!