Irene Uwoya, kwa hili umepatia

Irene Uwoya, kwa hili umepatia

Iamjac16

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
214
Reaction score
53
msanii wa bongo movies IRENE UWOYA Alikaliliwa Akisema Wasanii Wengi Wa Bongo Movies Wanakimbilia Kuigiza Sehemu Za Kupigana Kiss(DENDA) Huku Midomo Yao Inanuka Ila Wanawavumilia.kauli Kama Hiyo Imewahi Pia Kutolewa Na JANETH JACKSON akimwambia 2PAC APIME KWANZA AFYA YAKE NDO AIGIZE NAE KWENYE MOVIE.IRENE ALISEMA SASA HAWEZI KUIGIZA NAFASI HIYO KABLA HAWAJAPIMA AFYA ZAO KWANI WENGINE WANATUMIA MADAWA YA KULEVYA HIVYO NI HATARI KUIGIZA NAFASI HIYO BILI KUJUA AFYA.KWA HILI NAMUUNGA MKONO IRENE
 
Atupe kwanza majibu ya afya yake halafu ndio tuendelee na mjadala, usiwe kama zuzu kuunga mkono kila kauli ya kahaba.
 
Hii imekaa kama "chuki binafsi" vile??

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Imekuchomaa eheee!! nyambafu kabisa, mwambieni alete majibu ya afya yake kwanza.

Narudia tena.. Hii imekaa kama chuki binafsi. Unamwita kahaba je alishawahi kukuuzia? Kweli banza stone alisema " Elimu ya mjinga ni majungu"

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Aí sasa mdomo kunuka tena mbona kila mt ananuka mdomo asipopga mswaki
 
Mbona hii ipo humu siku nyiingi!!!!
 
Narudia tena.. Hii imekaa kama chuki binafsi. Unamwita kahaba je alishawahi kukuuzia? Kweli banza stone alisema " Elimu ya mjinga ni majungu"

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
Ndio amewahi kuniuzia, je unataka kujuwa na bei?
 
Gosh wazungu wanaigiza wabongo wanaingia kichwa kichwa
 
Atupe kwanza majibu ya afya yake halafu ndio tuendelee na mjadala, usiwe kama zuzu kuunga mkono kila kauli ya kahaba.

Mbona una chuki mkuu, kulikoni ?
Nakupa siri ya bure leo. take it from me Richard Mlangi, today the 04th Jan, 2013.
'Mwanamke malaya huwezi kumjua kamwe !, ...utamjuaje?' ...including your wife
 
Atupe kwanza majibu ya afya yake halafu ndio tuendelee na mjadala, usiwe kama zuzu kuunga mkono kila kauli ya kahaba.

Tumia Akili Mkuu Hiyo Si Kwake Ni Kwa Usalama Wa Waigizaji Wa Namna Hiyo Kwa Hiyo Afya Yake Iwe Nzuri Au Mbaya Anachotaka Ni Kupima Kabla Ya Kazi Ili Kujua Usalama
 
Atupe kwanza majibu ya afya yake halafu ndio tuendelee na mjadala, usiwe kama zuzu kuunga mkono kila kauli ya kahaba.

''wote''(sijui na nani sasa!?)mnataka kuigiza nae!???.........kasema 'kila atakaegiza nae apime'..sasa majibu ya afya yake akupe wewe unataka kuigiza nae?halafu anakuwaje kahaba mkuu,waweza thibitisha?...au ''alikunyima'' so roho inauma kwamba anampa kila mtu lakini wewe umekosa!?hebu heshimuni utu na heshima za wenzenu bana,sio mradi tu umesikia stori yake kwenye magazeti ya shigongo basi kawa kahaba wakati huna undani wa mtu husika.........hatui great thinkers kwa kupinga ila kitu na kutukana kila mtu ilimradi wengi wanamtukana!
 
Hiyo Kwelii
 
Back
Top Bottom