Iamjac16
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 214
- 53
msanii wa bongo movies IRENE UWOYA Alikaliliwa Akisema Wasanii Wengi Wa Bongo Movies Wanakimbilia Kuigiza Sehemu Za Kupigana Kiss(DENDA) Huku Midomo Yao Inanuka Ila Wanawavumilia.kauli Kama Hiyo Imewahi Pia Kutolewa Na JANETH JACKSON akimwambia 2PAC APIME KWANZA AFYA YAKE NDO AIGIZE NAE KWENYE MOVIE.IRENE ALISEMA SASA HAWEZI KUIGIZA NAFASI HIYO KABLA HAWAJAPIMA AFYA ZAO KWANI WENGINE WANATUMIA MADAWA YA KULEVYA HIVYO NI HATARI KUIGIZA NAFASI HIYO BILI KUJUA AFYA.KWA HILI NAMUUNGA MKONO IRENE