Irene Uwoya na Tessy chocolate wana msongo wa mawazo wanahitaji msaada

Irene Uwoya na Tessy chocolate wana msongo wa mawazo wanahitaji msaada

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
Baada ya mabinti hawa kupoteza wenza wao mmoja akimpoteza mmewe wa kwanza baada ya kufariki na mwingine ambaye ni trace chocolate kuachika kutoka kwa mpenzi wake msanii Aslay
tessychocolate-20180907-0001.jpg

Hivi sasa hawa mabinti ukiwaangalia hawapo sawa kama walivyokuwa mwanzo, wanahitaji ushauri maana wanaonekana wana stress, na wanalazimisha tu kuonekana wapo ok, Irene na trace wanatumia nguvu kubwa sasa kuonekana ni warembo na wana chura, wamekuwa wakitumia nguvu kubwa kuachia picha za ajabu ajabu insta yote ni kujaribu kuonyesha kuwa bado wapo vizuri
ireneuwoya8-20180907-0002.jpg

Lakini ukweli halisi ni kuwa wanafosi furraha lakini haipo moyoni mwao, irene nae baada ya kuona uzee unakuja anatumia nguvu kubwa kujifanya binti wa miaka 18, hadi akafikia kuitwa na basata kwa kupost picha zisizo na maadili hii yote kuonyesha watu kuwa bado kigoli lakini lumbe kashazeeka, tuwashauri hawa watu
ireneuwoya8-20180907-0001.jpg
 
Kuna mmoja hapo niliona jana kapostiwa na yule kijana wanamwita simba,huwenda akasogezwa Madale.
Asogezwe Mara ngapi!!

Uko wapi hapa mjinii!diamond alishamla kitambo sanaaaaa!!na stories zilivuma kama zote na mpk picha za hotelini wamelala zilionyeshwa!diamond akakiri [emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]!¡
 
Asogezwe Mara ngapi!!

Uko wapi hapa mjinii!diamond alishamla kitambo sanaaaaa!!na stories zilivuma kama zote na mpk picha za hotelini wamelala zilionyeshwa!diamond akakiri [emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]!¡
aaaghh watu walishakulana kitambo " pale regency ..nadhani sasa hivi watakuwa wanapashana kiporo tu
Kama ni kweli hongera zake sana kijana.
 
Back
Top Bottom