Affet
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,189
- 1,672
Haaaaaahaaaaa hakuna ktu inakera km kujua ama kuona demu wko anamshobokea jamaa flan yaani wazi wazi!Well said mkuu si unakumbuka bifu ya T.I.D na Hashim thabit pale bill's. Maana ishu ilikua ni demu wa tid kumshobokea hashim ile kinomanoma afu tid akaleta umwamba akala kichapo akatolewa club na kupigwa suspension, na aliporudi alienda na mzazi na elf 19 ya dawati alilovunja.