Irene Uwoya na Tessy chocolate wana msongo wa mawazo wanahitaji msaada

Irene Uwoya na Tessy chocolate wana msongo wa mawazo wanahitaji msaada

Wanawake wanasemaga wanapenda mwanamme mwenye hofu ya Mungu ukweli wengi wanapenda wanaume wauni ambao hawajatulia
Pesa na umaarufu tu hakuna cha hofu ya mungu wala nn amini nikwambiacho usipoamini leo utaamini cku demu wko akitongozwa na mwenye hela ama staa ntakukuta unalia ndg yng!
 
asikudanganye mtu " sehemu kubwa ya wanawake huvutiwa na wanaume wa aina 2 tu ....mwenye pesa na maarufu "... pigana uwe na uchumi wa kati " wanawake utakuwa unawakimbia wewe mwenyewe
Uchumi wa kati na kibamia je?
 
alafu wewe jamaa mbona muongo muongo wewe 😂😂😂😂

hivi demu kama irene anapatia wapi stress mjini hapa stress tutazipata sisi tunaomuona insta

she is just a go getter..money talks and daddy pay..

sasa stress zitoke wapi daddy's girl huyo mzee pancras humwambii kitu hapo
 
Baada ya mabinti hawa kupoteza wenza wao mmoja akimpoteza mmewe wa kwanza baada ya kufariki na mwingine ambaye ni trace chocolate kuachika kutoka kwa mpenzi wake msanii Aslay
View attachment 859831
Hivi sasa hawa mabinti ukiwaangalia hawapo sawa kama walivyokuwa mwanzo, wanahitaji ushauri maana wanaonekana wana stress, na wanalazimisha tu kuonekana wapo ok, Irene na trace wanatumia nguvu kubwa sasa kuonekana ni warembo na wana chura, wamekuwa wakitumia nguvu kubwa kuachia picha za ajabu ajabu insta yote ni kujaribu kuonyesha kuwa bado wapo vizuri
View attachment 859832
Lakini ukweli halisi ni kuwa wanafosi furraha lakini haipo moyoni mwao, irene nae baada ya kuona uzee unakuja anatumia nguvu kubwa kujifanya binti wa miaka 18, hadi akafikia kuitwa na basata kwa kupost picha zisizo na maadili hii yote kuonyesha watu kuwa bado kigoli lakini lumbe kashazeeka, tuwashauri hawa watu
View attachment 859833
Hayo manyonyo yamezira hayataki tena kusimama..!
 
Mi namkubali sana Beckham na uhandsome wote ule yupo tuli na kadem kake Victoria mwingine ni Will smith hawa wanawake sijui wamewapa nini kuwatuliza hawa jamaa

Hao watu wanateseka sana lakini hawataki kusema tu. Yaani mademu waliojaa kwenye Dunia hii, Beckham na pesa zote zile lakini yupo na kile kimifupa na ngozi! Mateso bila chuki.
 
Hao watu wanateseka sana lakini hawataki kusema tu. Yaani mademu waliojaa kwenye Dunia hii, Beckham na pesa zote zile lakini yupo na kile kimifupa na ngozi! Mateso bila chuki.
Amna wenzetu hawawazi sana chini moyo ukishapenda tu wanaridhika
 
alafu wewe jamaa mbona muongo muongo wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hivi demu kama irene anapatia wapi stress mjini hapa stress tutazipata sisi tunaomuona insta

she is just a go getter..money talks and daddy pay..

sasa stress zitoke wapi daddy's girl huyo mzee pancras humwambii kitu hapo
Wa kishua Irene!!!
 
Back
Top Bottom