Haaaaaahaaaaa hakuna ktu inakera km kujua ama kuona demu wko anamshobokea jamaa flan yaani wazi wazi!Well said mkuu si unakumbuka bifu ya T.I.D na Hashim thabit pale bill's. Maana ishu ilikua ni demu wa tid kumshobokea hashim ile kinomanoma afu tid akaleta umwamba akala kichapo akatolewa club na kupigwa suspension, na aliporudi alienda na mzazi na elf 19 ya dawati alilovunja.
alafu kweli na dogo janja kwangu ni dogo sana tu.... sema angezingua sialikuwa anaona heshima nnayompa sis so angenichukulia kama mdogo ake..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hukutaka tuu!humuoni dogo janja anajilia utamu!!!
Sasa je?uoga wako ndo umaskini wakoo[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3]!!!ungeenda front mbona angekupaaalafu kweli na dogo janja kwangu ni dogo sana tu.... sema angezingua sialikuwa anaona heshima nnayompa sis so angenichukulia kama mdogo ake..
ila ukute uoga wangu ndio ulionikosesha utamu kweli [emoji23]
Una pesa? km huna poa umaarufu je? km vyote hvyo huna plz bro njoo utulie na mm hp kwenye tairi tuangalie wapita njia!alafu kweli na dogo janja kwangu ni dogo sana tu.... sema angezingua sialikuwa anaona heshima nnayompa sis so angenichukulia kama mdogo ake..
ila ukute uoga wangu ndio ulionikosesha utamu kweli [emoji23]
ππππ unavyonisapoti sasa ππππSasa je?uoga wako ndo umaskini wakoo[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3]!!!ungeenda front mbona angekupaa
Huyu naye ni binti π±Baada ya mabinti hawa kupoteza wenza wao mmoja akimpoteza mmewe wa kwanza baada ya kufariki na mwingine ambaye ni trace chocolate kuachika kutoka kwa mpenzi wake msanii Aslay
π.Japokuwa mileage ina digits 7 ila dogo Janja inabidi apewe tuzo ya Yesbel kwa kusebenza hilo zigo UKWELI NA USEMWE mnyonge mnyongeni
πππWell said mkuu si unakumbuka bifu ya T.I.D na Hashim thabit pale bill's. Maana ishu ilikua ni demu wa tid kumshobokea hashim ile kinomanoma afu tid akaleta umwamba akala kichapo akatolewa club na kupigwa suspension, na aliporudi alienda na mzazi na elf 19 ya dawati alilovunja.
[emoji2] [emoji23] [emoji23] yule si ndo mlezi wa wana!!!kama wote vilee!!!!twendeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unavyonisapoti sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Japokuwa mileage ina digits 7 ila dogo Janja inabidi apewe tuzo ya Yesbel kwa kusebenza hilo zigo UKWELI NA USEMWE mnyonge mnyongeni
Mpk sasa siamini ndoa yake na dogo janja!AIBUUU wanawake sisi ni vichwa vya kuku,unaona kabisaa huyu sio wa kutulia na wewe unajipeleka hapo...ooh well I hope ulitumia kondom..irene si una ndoa wewe?mbona unamkosea aliyekusitiri?
πππππ[emoji2] [emoji23] [emoji23] yule si ndo mlezi wa wana!!!kama wote vilee!!!!twendeee
Na vyuo vikuu havijui tu,huyu dogo ndo wa kutunukiwa shahada ya uzamifu ya heshima kwa mchango wake kwa vijana ya kuondo fikra potofu juu ya kumiliki makarandinga,Nobel nao wampe hata tuzo ya heshimaJapokuwa mileage ina digits 7 ila dogo Janja inabidi apewe tuzo ya Yesbel kwa kusebenza hilo zigo UKWELI NA USEMWE mnyonge mnyongeni