Hilo ni fumbo mkuu. Pesa ndiyo sura ya wanamme. Wanakwambia mwanamme pesa sura hata mbuzi anayo.Sijui kama ni tabia ya wanawake wote ama ni hawa mastaa wa hapa kwetu kutamka vitu ambavyo hata wao hawaviamini, au kutoa kauli zenye kuleta maswali.
Huyu dada aliwahi katika moja ya mahojiano yake kusema hapendi kabisa mwanaume mwenye sura nzuri. Sijui walimkera nini wanaume hao.
Leo napenda kujua je aliweza kuisimamia kauli yake?
Nakumbuka alishasema anapenda wanaume wenye sura kama Fid Q.Sijui kama ni tabia ya wanawake wote ama ni hawa mastaa wa hapa kwetu kutamka vitu ambavyo hata wao hawaviamini, au kutoa kauli zenye kuleta maswali.
Huyu dada aliwahi katika moja ya mahojiano yake kusema hapendi kabisa mwanaume mwenye sura nzuri. Sijui walimkera nini wanaume hao.
Leo napenda kujua je aliweza kuisimamia kauli yake?
Hilo ni fumbo mkuu. Pesa ndiyo sura ya wanamme. Wanakwambia mwanamme pesa sura hata mbuzi anayo.
Pigeni yope....Hatimaye wenye sura nzito kama uji wa magimbi tumekumbukwa..
Dj tulete na sebene la kicongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wenye sura ngumu Wana mkuyenge mzito na wanajua kuwakunja hawa maslay qeen mpaka wanaongea kimbombo huko sita kwa sita .........
Tofauti na hawa chips mayai kina Mario .....