Irene Uwoya: Sipendi mwanaume mwenye sura nzuri

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Sijui kama ni tabia ya wanawake wote ama ni hawa mastaa wa hapa kwetu kutamka vitu ambavyo hata wao hawaviamini, au kutoa kauli zenye kuleta maswali.

Huyu dada aliwahi katika moja ya mahojiano yake kusema hapendi kabisa mwanaume mwenye sura nzuri. Sijui walimkera nini wanaume hao.

Leo napenda kujua je aliweza kuisimamia kauli yake?
 
Yuko sahihi,
Kwanza mwanaume unaanzaje kua na sura nzuri?

Unakua na sura nzuri Ili ugundue Nini yaani.
JamiiForums1106838666.jpg
 
Sijui kama ni tabia ya wanawake wote ama ni hawa mastaa wa hapa kwetu kutamka vitu ambavyo hata wao hawaviamini, au kutoa kauli zenye kuleta maswali.

Huyu dada aliwahi katika moja ya mahojiano yake kusema hapendi kabisa mwanaume mwenye sura nzuri. Sijui walimkera nini wanaume hao.

Leo napenda kujua je aliweza kuisimamia kauli yake?
Hilo ni fumbo mkuu. Pesa ndiyo sura ya wanamme. Wanakwambia mwanamme pesa sura hata mbuzi anayo.
 
Sijui kama ni tabia ya wanawake wote ama ni hawa mastaa wa hapa kwetu kutamka vitu ambavyo hata wao hawaviamini, au kutoa kauli zenye kuleta maswali.

Huyu dada aliwahi katika moja ya mahojiano yake kusema hapendi kabisa mwanaume mwenye sura nzuri. Sijui walimkera nini wanaume hao.

Leo napenda kujua je aliweza kuisimamia kauli yake?
Nakumbuka alishasema anapenda wanaume wenye sura kama Fid Q.
 
Wanaume wenye sura ngumu Wana mkuyenge mzito na wanajua kuwakunja hawa maslay qeen mpaka wanaongea kimbombo huko sita kwa sita .........

Tofauti na hawa chips mayai kina Mario .....
 
Naturally wanawake wanavutika na wanaume wenye haiba za kiume....kwa maana ya ukakamavu,uwajibikaji na ushujaa....hivyo vinamjenga mwanamke ajione yupo kwenye mikono salama zaidi.....

Ukakamavu,uwajibikaji na ushujaa vinamuondoa mwanaume katika utegemezi, hata kama hatakuwa tajiri lakini atakuwa na kipato kitachomuwezesha kuishi.......

Lakini phenomenal ya kimahusiano ni kitendawili kwa sababu akili ya mwanamke inabadilika kulingana na uelekeo wa upepo....

Lakini mwanamke mwenye akili anajua anachokitaka kwa mwanaume na anahitaji mwanaume wa aina gani......
 
Wanaume wenye sura ngumu Wana mkuyenge mzito na wanajua kuwakunja hawa maslay qeen mpaka wanaongea kimbombo huko sita kwa sita .........

Tofauti na hawa chips mayai kina Mario .....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom