Irene Uwoya: Sipendi mwanaume mwenye sura nzuri

Irene Uwoya: Sipendi mwanaume mwenye sura nzuri

Sijui kama ni tabia ya wanawake wote ama ni hawa mastaa wa hapa kwetu kutamka vitu ambavyo hata wao hawaviamini, au kutoa kauli zenye kuleta maswali.

Huyu dada aliwahi katika moja ya mahojiano yake kusema hapendi kabisa mwanaume mwenye sura nzuri. Sijui walimkera nini wanaume hao.

Leo napenda kujua je aliweza kuisimamia kauli yake?
Kwani nyani hawaoni au ni vunga tu? Unaweka masharti kama nani na una nini wakati umeri umekwenda binti yangu? Mnalewa usupa staa msijue maisha siyo huo usupa staa wenu uchwara.
 
Tutajieni waliomla mnaowajua ili tuone sampuli zake tupime, naanza hivi:

1. Dogo Janja…
 
Kwahiyo Mrisho Mpoto anaweza kuchukua mtoto kiubwete tu hapo? Haya bhana.
 
Wanaume wenye sura ngumu nawasalimu.
[emoji12]
IMG_20210928_094301.jpg
 
Mnapenda wanaume wenye sura ngumu na pasonooo..

Ila wakati mnataka kutotoa mnapenda mpate vitoto vi-cuteee.. Vyeupeee.. Ila baba mnapenda mweusi.

Dah.. Hatari sana wallah..

hawa viumbe ni hatari sana, wanapenda kugongwa na wanaume wenye sura ngumu ila wanataka kuzaa na mwanamme mwenye sura nzuri.
 
hawa viumbe ni hatari sana, wanapenda kugongwa na wanaume wenye sura ngumu ila wanataka kuzaa na mwanamme mwenye sura nzuri.
Wanawake ni viumbe wasioeleweka , we akikupa mbunye mgonge tu Ila usiamini kwamba anakupenda.

Mpe hela tu sura haangalii, ndio anachosema uwoya huyo ni Malaya mzoefu.
 
Akina cheusi mangala tukutane tent namba 2 Leo Kuna kikao chetu Cha kumjadili Uwoya Nani akatuwakilishe kumpa mkunyunyu
 
Wanaume wenye sura ngumu Wana mkuyenge mzito na wanajua kuwakunja hawa maslay qeen mpaka wanaongea kimbombo huko sita kwa sita .........

Tofauti na hawa chips mayai kina Mario .....
Mario ana sura nzuri?
 
Back
Top Bottom