Mukulu fulani hivi bonge la body zaidi y komba kaja arusha na kabinti kadogo karembo sasa yuko rum kala mbolea cjui kakosea doz.kabla y mechi kuanza mapigo y moyo yakalegea akaona ata rest in hell,akapiga cmu kwa rc w arusha akamwambia aje n daktari fasta hali c shwari.
Ikaenda timu yani rc na rpc na dokta plus ambulance kufika kwa hotel jamaa hali mbaya ikabidi aseme ukweli asaidiwe,akasema kala minjingu so dokta akamchoma masindano cjui yapi unaambiwa alikua anatoka jasho kma maji n macho yashalegea.
Kibinti n kidogo unaambiwa kirembo balaa wa2 wakaingiza tamaa wapite nacho ila wakaogopa halafu chenyewe hakijastuka kua mzee anataka kata roho.ni stori ndefu sana ila ubonge noumer bila mbolea no mechi