Irene Uwoya: Sipendi wanaume wanene na wenye vitambi

Aaaalaaa chezea kifua cha laazizi wangu kinavutiajeee,sio mwanaume kifua huna, nyonyo hizoo,,kama kifua cha Rick Ross kibayaa

Cha Rick Ross ni kichefuchefu aisee,sasa sijui nani atachezea nido za mwenzie....
 
kuonyesha show pevu kwa miraya ni kujitafutia maambukizi...miraya ni ya kusafishia rungu tu show kali ni kwa wifey yako...miraya waga wanapigwa push ups mbili tatu tu wazungu hao!

Mmmmh,jamanii???
 
Hahahaaaaa,uwiiiii umenichekesha sana...ni nani huyo jamani???natamani kumjua kweli yani...

Mukulu fulani hivi bonge la body zaidi y komba kaja arusha na kabinti kadogo karembo sasa yuko rum kala mbolea cjui kakosea doz.kabla y mechi kuanza mapigo y moyo yakalegea akaona ata rest in hell,akapiga cmu kwa rc w arusha akamwambia aje n daktari fasta hali c shwari.

Ikaenda timu yani rc na rpc na dokta plus ambulance kufika kwa hotel jamaa hali mbaya ikabidi aseme ukweli asaidiwe,akasema kala minjingu so dokta akamchoma masindano cjui yapi unaambiwa alikua anatoka jasho kma maji n macho yashalegea.

Kibinti n kidogo unaambiwa kirembo balaa wa2 wakaingiza tamaa wapite nacho ila wakaogopa halafu chenyewe hakijastuka kua mzee anataka kata roho.ni stori ndefu sana ila ubonge noumer bila mbolea no mechi
 
aaaaaah basi sawa,
sema angemalizia anataka watoto wadogo kama akina mziwanda maana ndio kazi yake kuwabemenda watoto
 
Aisee,sasa kisa cha kujitoa roho ni nini???kisa papuchi....
Si wajikubali tu hali zao wapige ki1 basi kwani hao mabinti wanafuata nini kwao zaidi ya pesa?
 
Aisee,sasa kisa cha kujitoa roho ni nini???kisa papuchi....
Si wajikubali tu hali zao wapige ki1 basi kwani hao mabinti wanafuata nini kwao zaidi ya pesa?

Mzee katoka nacho moshi kuja kula raha chuga n doz y mbolea uzito wake hawezi kipiga 1 mpka doz y minjingu ana kg 200 kma ngombe.kwasasa yuko muhimbili kalazwa chezea mbolea nini.jk alienda kumpa pole lastwk cjui atapelekwa india
 
Hahahaaaa,uwiiiii ni nani huyo jamani???
Stori hainogi bila kumjua mhusika bwanaaaa
 
Kupitia post hii tutawajua wadada wa JF wenaotoka na wanaume wanene.
 
embu nihabarishe jaman mbolea ni nini. Ni pm basi kama hapa hairuhusiw
 
Mzee katoka nacho moshi kuja kula raha chuga n doz y mbolea uzito wake hawezi kipiga 1 mpka doz y minjingu ana kg 200 kma ngombe.kwasasa yuko muhimbili kalazwa chezea mbolea nini.jk alienda kumpa pole lastwk cjui atapelekwa india

Ha hahah RC KLMNJR na last week mkulu alienda muona ha ha minjinguuuu
 
nshamjua
 
Dahvmpaka hapo shamjua wa mkoa flani hivi wenye highest ........ In Africa

Chezea mbolea nini unaambiwa ilikua patashika hotelini rc wa chuga n rpc walikua roho juu mana angekufa bonge l kashfa kumtoa rum ingebidi waje na forklift au crane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…