tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Ha hahah RC KLMNJR na last week mkulu alienda muona ha ha minjinguuuu
Chezea mbolea nini unaambiwa ilikua patashika hotelini rc wa chuga n rpc walikua roho juu mana angekufa bonge l kashfa kumtoa rum ingebidi waje na forklift au crane
Hahaaaa...una maneno wewe...
Hhhhhaaaaaa wanatoka na wanaume kama komba teh teh teh....
Ilikua balaaa c mchezo wameficha sana mana usalama uliimarisha hiyo floor y hotel bt wafanyakazi walistukia issue
Khaaa...nimeona picha zake, kwa limwili lile mbolea lazima...
Ilikua noma unaambiwa rc w chuga n rpc walipanic kwa hali waliyomkuta nayo,wakaita ambulance n madokta ndio kuambiwa n dokta sema ukweli nikusaidie muzee akasema kala mbolea.ndio dk kumchoma masindano gani afta 6yrz hali ikapungua.
Akapewa n dawa z usingizi kesho yke akarudi ms si ndio gari ikaanza mis mara rejeta inapandisha temperature mara plug zinaleta mis ikabidi apelekwe muhi2.
Ila siri imefichwa sana ila ndio hivyo mwili mkubwa bila mbolea no mechi wanaume tu tabu ebu chukulia lile zigo lingefia chumbani kulitoa mpka wavunje mlango au dirisha
Shosti Komba , Le mutuz , JB , Bigi wale ni Wagonjwa sio wanene , Diamond & Ali ndio hao siksi paki , No me Nehine
Chezea minjingu unaambiwa alikua anatoka jasho macho yamelegea rc w chuga n rpc roho juu cz akifa ingekua kashfa balaa.kumtoa ingebidi watumie forklift au crane
Hahahaa eti wangevunja dirisha...Mola amuafu apone....ila afanye mazoezi, ule mwili sio kabisaa...
hahaaaaa
afu si mapacha wale mmoja sijui kafa sijui yuko yuko wapi
wote wana na ukoo G
Juzi alivaa pensi bwana,gazeti fulan la udaku wakamfotoa!yani utadhan kasimamia mikono!hawachekani na wa huku mtaani...anyanyue na chuma cha ugokoIla ndomo ukimuona kwenye picha nyingi anaonekana bonge la mtu halafu kajazia hatar, ukumuona live kama nguchiro ana mwil mdogo, sijui ndo application maana na wao mhh
Juzi alivaa pensi bwana,gazeti fulan la udaku wakamfotoa!yani utadhan kasimamia mikono!hawachekani na wa huku mtaani...anyanyue na chuma cha ugoko
Kumbe unene ni janga kwa afya ya kuijaza dunia..pole yakeIlikua noma unaambiwa rc w chuga n rpc walipanic kwa hali waliyomkuta nayo,wakaita ambulance n madokta ndio kuambiwa n dokta sema ukweli nikusaidie muzee akasema kala mbolea.ndio dk kumchoma masindano gani afta 6yrz hali ikapungua.
Akapewa n dawa z usingizi kesho yke akarudi ms si ndio gari ikaanza mis mara rejeta inapandisha temperature mara plug zinaleta mis ikabidi apelekwe muhi2.
Ila siri imefichwa sana ila ndio hivyo mwili mkubwa bila mbolea no mechi wanaume tu tabu ebu chukulia lile zigo lingefia chumbani kulitoa mpka wavunje mlango au dirisha
hahahaaaaaaaa ooop hahahaaaaaaaaaaa mbavu zangu mieJuzi alivaa pensi bwana,gazeti fulan la udaku wakamfotoa!yani utadhan kasimamia mikono!hawachekani na wa huku mtaani...anyanyue na chuma cha ugoko
Kumbe unene ni janga kwa afya ya kuijaza dunia..pole yake
Huyohuyo chezea mbolea nini alikua n kabinti kadogo kanasoma muccobs,mara gari ikaanza kupandisha temperature mara engine inakua weak cjui hiyo aibu ccm wangejificha wapi uke mwili lazma crane ibebe au wavunje dirisha cz ilikua ghorofani
Mh,jamani umalaya huu ni hatari sana...sijui huyo binti angeli handle vipi hilo jizee jamani!!!
C mnasema vijana hatutoi hela mnataka wazee wakti wanatumia mbolea kwa hisani y wa2 w marekani,shauri yenu mtafungwa kwa kuua wazee w mbolea