IRGC Iran yashambulia kambi za Marekani, wamesema hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz

IRGC Iran yashambulia kambi za Marekani, wamesema hatutaruhusu Marekani kuingilia mambo au kusimamia Mlango-Bahari wa Hormuz

Jamhuri ya Japan baada y kuchezea Kombora za kutosha🤠🤠
 
..hivi Mzee Kikwete hawezi kusuluhisha huu mgogoro?

..hii vita ishakuwa ya kipuuzi sasa.
Hapa hamna mgogoro wowote ni Marekani anataka kuleta ubabe wanataka kumiliki Hormuz na Iran kawambia wazi Hormuz ni mali ya Iran.
 
🇺🇸 Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance:
"Mkataba ulikuwa ni kuondoa kizuizi na kusimamisha kufyatua risasi meli. Waliahidi. Wiki moja baadaye walikuwa wakifyatua risasi meli tena."

🇮🇷 Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi:
"Mkataba ulikuwa ni kusimamisha kufyatua risasi Lebanon. Waliahidi. Dakika tano baadaye walikuwa wakifyatua risasi tena."

Maafisa hao wawili walibadilishana shutuma kali zinazokinzana, wakionyesha kutokubaliana sana kati ya Washington na Tehran.
 
Iran Yathibitisha Kuwa Wataishambulia Israeli Ikiwa Marekani Itashambulia Miundombinu ya Iran

Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Kitaifa:

Mashambulizi dhidi ya miundombinu yatakabiliwa na kisasi, na utawala wa Kizayuni wa jinai hautaepuka majibu ya wapiganaji wetu.

Brother Depo Iranian sio wa Venezuela wanapigana na Mataifa zaidi ya Moja kwa wkt M 1 ✍️
 
🇺🇸🇮🇷 Ghalibaf wa Iran: "Ni wale tu walio tayari kwa vita ndio wanaweza kujadiliana na Marekani.

Kabla ya vita vya hivi karibuni, Marekani, utawala wa Kizayuni, na NATO waliamini wangeweza kuilazimisha Iran kujisalimisha ndani ya siku chache tu.

Hata hivyo, waligundua haraka kwamba hawangefikia malengo yao."

Chanzo: Tasnim News / Mwandishi: Claudio

View: https://x.com/marionawfal/status/2075635096586211633?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom