Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,269
Kati ya kitu ambacho wachaga wameyazidi makabila mengi ni kusomesha mabinti zao, sasa hivi wanaongoza kwa kuolewa na makabila ya nje. Ila target yao ni yale makabila flani kama wakinga, wanyakysa n.kWahehe, wachaga, wanyakyusa na wahaya sijui CCM iliwakosea nini, maana wanaitandika mbele na nyuma.
Sio challenge wanapoteza uchaguzi unadhani wenyewe wajinga hawaoni Moto wa Chadema... kiukweli ikiwekwa "level-playing ground" bila msaada wa polisi, wakurugenzi, na tume CCM watapata challenge sana!
Wamesoma Sana hawataki ujinga,,, bukoba mjini toka 2000 wanachagua upinzaniWahehe, wachaga, wanyakyusa na wahaya sijui CCM iliwakosea nini, maana wanaitandika mbele na nyuma.
Yes waweke level ground polisi na tume ya uchaguzi ya Ccm wakae pembeni tuone.... kiukweli ikiwekwa "level-playing ground" bila msaada wa polisi, wakurugenzi, na tume CCM watapata challenge sana!
CHADEMA ni mpango wa Yehova na si BinadamuMungu ibariki CHADEMA
Usisahau wazigua wa handeni huko tanga yaani huko hali ni chafu sijawahi ona, mtu analala chumba kimoja na bata, kuku, beberu yaani hwaa hwaa, kwiyoo kwiyoo, prruh bere bere phrh phr Hilo ni beberu hapo ccm moyo kwatu wanagawa sahani, yebo yebo, etcKwa ujumla ni Watanzania wote kasoro Wagogo,wao wameridhika na Viwavi jeshi kuwa mlo kamili
Huo ndio ukweli wa hakiSio challenge wanapoteza uchaguzi unadhani wenyewe wajinga hawaoni Moto wa Chadema
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
AMINAAAANa wote tuseme ameeeen
Msajili akiona hivi anatetemeka sana.Usajili wa wanachama wapya kwa ile njia ya kisasa iitwayo CHADEMA DGITAL Mkoani Iringa unaendelea kwa kasi ya Kutisha, Lakini bila kelele yoyote ile, ni mwendo wa kimya kimya tu.
Jambo la kufurahisha ni kwamba vibanda vya usajili huo, pia vimekuwa sehemu ya uhamasishaji wa Chanjo ya UVIKO-19
We acha kabisa nchii hii ni hatariKule Kongwa ndio balaa. Tshirt tu mtu anauza utu wake
Swadakta. Wacha wao waendelee kukaa na mabunduki huko sisi tunachanja mbugaZoezi liendelee kwa kasi kusajiri wananchi kwenye mfumo, iwe kwenye foleni zaa maji, kanisani, misikitini, sokoni, kwenye madaladala, bar, kwenye misiba, mahospitali - syle ni ile ile - kimya kimya.
Uhamasishaji Chanjo ya Kovidi watupe sisi Chadema nchi nzima watachanja.Usajili wa wanachama wapya kwa ile njia ya kisasa iitwayo CHADEMA DGITAL Mkoani Iringa unaendelea kwa kasi ya Kutisha, Lakini bila kelele yoyote ile, ni mwendo wa kimya kimya tu.
Jambo la kufurahisha ni kwamba vibanda vya usajili huo, pia vimekuwa sehemu ya uhamasishaji wa Chanjo ya UVIKO-19
Haya ndio maneno ninayopenda kusikia. Kudai katiba mpya na tume huru sio jambo la kuwasaidia sanaUsajili wa wanachama wapya kwa ile njia ya kisasa iitwayo CHADEMA DGITAL Mkoani Iringa unaendelea kwa kasi ya Kutisha, Lakini bila kelele yoyote ile, ni mwendo wa kimya kimya tu.
Jambo la kufurahisha ni kwamba vibanda vya usajili huo, pia vimekuwa sehemu ya uhamasishaji wa Chanjo ya UVIKO-19
Katiba mpya haikwepekiHaya ndio maneno ninayopenda kusikia. Kudai katiba mpya na tume huru sio jambo la kuwasaidia sana