Iringa: CHADEMA Digital yashika kasi

Iringa: CHADEMA Digital yashika kasi

Wahehe, wachaga, wanyakyusa na wahaya sijui CCM iliwakosea nini, maana wanaitandika mbele na nyuma.
Kati ya kitu ambacho wachaga wameyazidi makabila mengi ni kusomesha mabinti zao, sasa hivi wanaongoza kwa kuolewa na makabila ya nje. Ila target yao ni yale makabila flani kama wakinga, wanyakysa n.k
 
... kiukweli ikiwekwa "level-playing ground" bila msaada wa polisi, wakurugenzi, na tume CCM watapata challenge sana!
Yes waweke level ground polisi na tume ya uchaguzi ya Ccm wakae pembeni tuone.
 
Kwa ujumla ni Watanzania wote kasoro Wagogo,wao wameridhika na Viwavi jeshi kuwa mlo kamili
Usisahau wazigua wa handeni huko tanga yaani huko hali ni chafu sijawahi ona, mtu analala chumba kimoja na bata, kuku, beberu yaani hwaa hwaa, kwiyoo kwiyoo, prruh bere bere phrh phr Hilo ni beberu hapo ccm moyo kwatu wanagawa sahani, yebo yebo, etc
 
Usajili wa wanachama wapya kwa ile njia ya kisasa iitwayo CHADEMA DGITAL Mkoani Iringa unaendelea kwa kasi ya Kutisha, Lakini bila kelele yoyote ile, ni mwendo wa kimya kimya tu.

Jambo la kufurahisha ni kwamba vibanda vya usajili huo, pia vimekuwa sehemu ya uhamasishaji wa Chanjo ya UVIKO-19

Msajili akiona hivi anatetemeka sana.

Hiki ni zaidi ya chama.
 
Zoezi liendelee kwa kasi kusajiri wananchi kwenye mfumo, iwe kwenye foleni zaa maji, kanisani, misikitini, sokoni, kwenye madaladala, bar, kwenye misiba, mahospitali - syle ni ile ile - kimya kimya.
Swadakta. Wacha wao waendelee kukaa na mabunduki huko sisi tunachanja mbuga
 
Usajili wa wanachama wapya kwa ile njia ya kisasa iitwayo CHADEMA DGITAL Mkoani Iringa unaendelea kwa kasi ya Kutisha, Lakini bila kelele yoyote ile, ni mwendo wa kimya kimya tu.

Jambo la kufurahisha ni kwamba vibanda vya usajili huo, pia vimekuwa sehemu ya uhamasishaji wa Chanjo ya UVIKO-19

Uhamasishaji Chanjo ya Kovidi watupe sisi Chadema nchi nzima watachanja.

Hao waongo waliowatisha wananchi hawawezi kukubalika tena leo kuhamasisha hao hao wananchi

wananchi sio wajinga
 
Usajili wa wanachama wapya kwa ile njia ya kisasa iitwayo CHADEMA DGITAL Mkoani Iringa unaendelea kwa kasi ya Kutisha, Lakini bila kelele yoyote ile, ni mwendo wa kimya kimya tu.

Jambo la kufurahisha ni kwamba vibanda vya usajili huo, pia vimekuwa sehemu ya uhamasishaji wa Chanjo ya UVIKO-19

Haya ndio maneno ninayopenda kusikia. Kudai katiba mpya na tume huru sio jambo la kuwasaidia sana
 
Back
Top Bottom