Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,269
Kati ya kitu ambacho wachaga wameyazidi makabila mengi ni kusomesha mabinti zao, sasa hivi wanaongoza kwa kuolewa na makabila ya nje. Ila target yao ni yale makabila flani kama wakinga, wanyakysa n.kWahehe, wachaga, wanyakyusa na wahaya sijui CCM iliwakosea nini, maana wanaitandika mbele na nyuma.