Iringa-Halmashauri ya Iringa yaanzisha ushuru wa wanaonunua pumba ya kuku

Iringa-Halmashauri ya Iringa yaanzisha ushuru wa wanaonunua pumba ya kuku

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Halmashauri ya wilaya ya Iringa imeanza kutekeleza ushuru kwa mtu yeyote anayenunua pumba inayotokana ama na mahindi au mpunga kwa kuanzia kg 10 kwenda juu. mtu ambaye hatakuwa na kibali cha kusafirisha hiyo pumba faini yake ni tsh 200,000.

Aidha watendaji wameanza kuitekeleza na inaelezwa kuwa itaongeza mapato ya halmashauri hiyo.

Tazama hapa chini
jf1.jpg
jf2.jpg
 
Huyo shahidi mbona hajaanguka signature.
 
Aisee instead of kuhimiza watu wafuge wawe wajasi wao wanadiscourage.
 
Back
Top Bottom