Iringa-Halmashauri ya Iringa yaanzisha ushuru wa wanaonunua pumba ya kuku

Iringa-Halmashauri ya Iringa yaanzisha ushuru wa wanaonunua pumba ya kuku

Nchemba hana mchezo, ujinga ni kwamba itavuma maeneo yote ya nchi kama usafi wa makonda
 
Lack of innovation,ability and capacity to utilize available resources to redress national challenges.
 
Hiki chama ni wezi sana wanajinasibu kukusanya mapato ila waulize pesa zi wapi utasikia tunasubiri mabeberu watupee tujenge mashimo ya vyoo shuleni.

Bado utasikia wanasafirisha vinyesi vya kuku kulipia
 
Halmashauri ya wilaya ya Iringa imeanza kutekeleza ushuru kwa mtu yeyote anayenunua pumba inayotokana ama na mahindi au mpunga kwa kuanzia kg 10 kwenda juu. mtu ambaye hatakuwa na kibali cha kusafirisha hiyo pumba faini yake ni tsh 200,000.

Aidha watendaji wameanza kuitekeleza na inaelezwa kuwa itaongeza mapato ya halmashauri hiyo.

Tazama hapa chini
View attachment 2040368View attachment 2040369
Shahidi Stanley hajui kuliandika jina lake! Miaka 60 ya uhuru.
 
Back
Top Bottom