IRINGA: Katibu wa Mbunge, Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM na Diwani wafikishwa Mahakamani kwa muaji ya Katibu wa CCM Kilolo

Kumbe Mbowe anaiga vitu vingi kutoka ccm!!
 
Familiarity breeds killings even of your own colleague. What familiarity can this be? Think about this!
 
..kama wamefanya hayo kwa mwana-ccm mwenzao, tena mwanamke, fikiria hatima yako ukiwa mpinzani, na uko katika mikono yao.
Huyo karibu wa mbunge ni mbunge yupi?
 
Kubabake wameanza kufukunyuana wenyewe kwa wenyewe sasa.
 
Hivi usikute hata yule kiongozi wa uvccm kule Njombe aliuwawa na wanaccm wenzake, halafu kesi wakauziwa makada wa chadema. Hawa ccm siyo watu wazuri hata kidogo.
 
Sijaelewa
  1. Watu watano mbona majina ni matatu hao wawili kulikoni
  2. Hii nilidhani ni kesi ya mauaji hii misamiati ya kimahakama inachanganya ...msaada wa kiufahamu tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…