IRINGA: Katibu wa Mbunge, Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi CCM na Diwani wafikishwa Mahakamani kwa muaji ya Katibu wa CCM Kilolo

Enzi za jiwe hii kesi wangepewa wana Chadema na kunangwa juu, ungesikia hawa wananiombea nife nizikwe baharini
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kawaida yao hao,Dikteta nae sio ndio alimpiga Saanane risasi ya kichwa
 
Ni unyama mkubwa sana aliofanyiwa kiongozi wetu .Sheria ichukue mkondo wake na adhabu kali sana iyakayowabubujisha machozi ya majuto itolewe kwa wote watakaokutwa na hatia.
Ungekua unaongea na kukemea kwa wote hivi ningekupa big up saana lakn una ka ubias
 
Uchunguzi wa Ally Kibao vipi?
Sidhani kama kuna uchunguzi unaendelea. Otherwise, nilitegemea iwe rahisi kukamata watuhumiwa waliotekeleza tukio mbele za watu kuliko waluotekeleza sirini
 
Bwana Katili hachomoki hapo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata JPM ukifanyika uchunguzi wa kimataifa!
Tutadondoka chini!
 
Bwana Katili hachomoki hapo πŸ˜‚πŸ˜‚
Inaonekana unamfahamu na unajua kilichopo nyuma yake. Ni kweli hachomoki japo hao wengine wameingizwa kisiasa ili kumuumiza Mheshimiwa Nyamoga kuelekea Ubunge 2025. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…