Iringa kinara wa mimba za utotoni 2021

[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]

Sent from my SCV39 using JamiiForums mobile app
 
Wachina wanadai nyama ya mbwa ni aphrodisiac! Wale wasio na nguvu za kiume au kuboresha wale makomandoo wa kazi wajaribu..πŸ˜ŽπŸ˜œπŸ‘·πŸΏ
 
Iringa nadhani kuna tatizo kwenye energy point(yin & yang)!. ama geographical chakra![emoji848] maana ni sehemu ambayo ukikaa kwa muda utajikuta automatically unapenda ngono,. sio coincidence hii, hata case za ubakaji ni nyingi sana, za Kuongezeka Ugonjwa pendwa wa Ukimwi ni nyingi vilevile japo wana elimu ya kutosha... wenye misimamo hususan wanawake hua wanawahi kuolewa(wakuja, waliokuja kikazi)... nimekaa miaka 2 tu ila hili nimelisoma.

anyway niliwachakata sana pia, wakati mwanzo nlikua sina mda nao wanawake.
 
Iringa baridi Sana ndo inachangia GENYE kuwa nying
 
Ile kampeni ya kuwarudisha shule iendelee ila wafanye na maandalizi ya kituo cha kulea vichanga
 
Wachina wanadai nyama ya mbwa ni aphrodisiac! Wale wasio na nguvu za kiume au kuboresha wale makomandoo wa kazi wajaribu..πŸ˜ŽπŸ˜œπŸ‘·πŸΏ
Unataka Kuhamasisha ndugu zetu wa sehemu fulani wakahamia Iringa mkuu.
Au unataka mkoa fulani πŸ• wake wakose amani kuwindwa kwa wingi.
 
Umechakata kwa wingi Dah hii hatari sana.
 
Ile kampeni ya kuwarudisha shule iendelee ila wafanye na maandalizi ya kituo cha kulea vichanga
Yaani hapo ndio wamehamasisha zaidi kunyanduana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…