Iringa kinara wa mimba za utotoni 2021

Iringa kinara wa mimba za utotoni 2021

Na hivi huyu mama yenu amehalalisha watoto wapigwe pipe wa kuzaa azae wa kutoa atoe kisha warudi shule tegemea hiyo list kuongezeka mwakani.

2033 madarasani utasikia wewe mama Agnes niazime hiko kitabu mwengine wewe mama mwajuma niazime rula yako upande ule wengine wakiomba ruhusa kwa walimu waende wakanyonyeshe huku back benchers wakitongoza wengine humo humo darasani.

Kuna vitu vya kumpa navyo uhuru mwanadamu (especially Muafrica) ila ukifanya mambo simple simple kama alivyofanya huyu mwanamke unavuruga kabisa utaratibu wa maisha yaliyostaarabika.
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]

Sent from my SCV39 using JamiiForums mobile app
 
Mkoa wa Iringa umeongoza kwa watoto wa kike kupata mimba za utotoni.
Zaidi ya wasichana 3,000 wenye umri kati ya miaka 10 hadi 19 mkoani Iringa, Wamegundulika kupata mimba katika kipindi cha januari hadi Oktoba mwaka 2021, jambo ambalo linarudisha nyuma juhudi za kupata elimu kwa watoto.

Kamwene Iringa 🐕🐕🐕
Wachina wanadai nyama ya mbwa ni aphrodisiac! Wale wasio na nguvu za kiume au kuboresha wale makomandoo wa kazi wajaribu..😎😜👷🏿
 
Iringa nadhani kuna tatizo kwenye energy point(yin & yang)!. ama geographical chakra![emoji848] maana ni sehemu ambayo ukikaa kwa muda utajikuta automatically unapenda ngono,. sio coincidence hii, hata case za ubakaji ni nyingi sana, za Kuongezeka Ugonjwa pendwa wa Ukimwi ni nyingi vilevile japo wana elimu ya kutosha... wenye misimamo hususan wanawake hua wanawahi kuolewa(wakuja, waliokuja kikazi)... nimekaa miaka 2 tu ila hili nimelisoma.

anyway niliwachakata sana pia, wakati mwanzo nlikua sina mda nao wanawake.
 
256E7F3E-236E-46C3-98C1-82B7BA164792.jpeg
 
Ile kampeni ya kuwarudisha shule iendelee ila wafanye na maandalizi ya kituo cha kulea vichanga
 
Wachina wanadai nyama ya mbwa ni aphrodisiac! Wale wasio na nguvu za kiume au kuboresha wale makomandoo wa kazi wajaribu..😎😜👷🏿
Unataka Kuhamasisha ndugu zetu wa sehemu fulani wakahamia Iringa mkuu.
Au unataka mkoa fulani 🐕 wake wakose amani kuwindwa kwa wingi.
 
Iringa nadhani kuna tatizo kwenye energy point(yin & yang)!. ama geographical chakra![emoji848] maana ni sehemu ambayo ukikaa kwa muda utajikuta automatically unapenda ngono,. sio coincidence hii, hata case za ubakaji ni nyingi sana, za Kuongezeka Ugonjwa pendwa wa Ukimwi ni nyingi vilevile japo wana elimu ya kutosha... wenye misimamo hususan wanawake hua wanawahi kuolewa(wakuja, waliokuja kikazi)... nimekaa miaka 2 tu ila hili nimelisoma.

anyway niliwachakata sana pia, wakati mwanzo nlikua sina mda nao wanawake.
Umechakata kwa wingi Dah hii hatari sana.
 
Ile kampeni ya kuwarudisha shule iendelee ila wafanye na maandalizi ya kituo cha kulea vichanga
Yaani hapo ndio wamehamasisha zaidi kunyanduana.
 
Back
Top Bottom