Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

Sawa bhana, yaishe.
 
Broo; Tumesikia kwa masikio yetu hapo kwenye vid.clip. CCM na UWT walikuja kama wasikilizaji wengine. Acha kupotosha Taarifa.😎
 
Broo; Tumesikia kwa masikio yetu hapo kwenye vid.clip. CCM na UWT walikuja kama wasikilizaji wengine. Acha kupotosha Taarifa.😎
UWT imefanya kazi kubwa sana nyuma ya pazia ya kuhakikisha mama huyu mnyonge na mjane anaachiliwa huru kabisa
 
CCM Ni mtetezi wa wanyonge.hata wewe kama kuna mahali unaona kuwa umeonewa na umenyiwma haki yako basi lete kero yako ndani ya CCM ili usaidiwe kupata haki yako.
Kwani hizo kero zinasababishwa na serikali ya chama gani? Mbona kama vile unajitejenya ndugu?
 
Nchi yangu pendwa!!! Ila hii nchi hii acha tu!!
 
Attachments

  • IMG-20240216-WA0015.jpg
    41 KB · Views: 3
Kwani hizo kero zinasababishwa na serikali ya chama gani? Mbona kama vile unajitejenya ndugu?
Serikali ya CCM Ni mtatuzi wa kero na siyo mtengenezaji wa kero kwa wananchi wake.ndio maana inapambana usiku na mchana pale panapojitokeza kero ya aina yoyote ile.
 
Wewe siyo bure utakuwa na tatizo kichwani, yaani Ccm inatengeneza matatizo ya maksudi kwa wananchi kisha unawadanganya kwamba inatatua hayo matatizo.

Ni mara ngapi na kwa kipindi kirefu sana hadi sasa wananchi wamekuwa wakiuliwa na hao wanyama pori tena nje ya hifadhi, wananchi wanapojitetea kwa kumuua mnyama husika wananchi hao hufungwa jela miaka lukuki.

Eti leo kwa hadaa na hofu ya uchaguzi uchwara unadandia kazi nzuri ya TLS eti ni ccm. Shenzi kabsa!!!
 
CCM Ndio iliyompigania huyo mjane kuweza kuachiliwa huru.imefanya kazi kubwa na nzito nyuma ya pazia katika kuhakikisha kuwa ushindi unapatikana kwa mama Maria Ngoda
 
Serikali ya CCM inamfunga, halafu wanajumuia ya wanawake wa CCM wanajifanya kutaka kumsaidia kukata Rufaa. Wakati kesi imeanza kuendeshwa UWT mlikuwa wapi kumpa usaidizi wa mawakili wa kumtetea?? Acheni UNAFIKI

TLS kanda ya IRINGA ndio imesimamia hii kesi na siyo CCM, Mwogopeni mungu.

CCM mnaweza kujitolewa kusimamia kesi za MAHAKAMANI zile za Mashehe wa uamsho ,itapendeza sana.
 
W
Tuna jua
Mahakama zote zina agizwa na Ccm na ndio hizo hizo zili hukumu Maria
Leo Ccm hao hao wana jisifu ati kaachiwa. Hovyooo
Halafu Ccm msitafute kiki za kijinga
Walio kata rufaa walikuwa ni TLS. Chama cha wana sheria Tanzania.
Waambie ukweli mwamba!
 
CCM Ndio iliyo mpigania na kuhakikisha kuwa mama wa watu mnyonge mama Maria anapata haki yake.

Ninyi nyumbu wa CHADEMA endeleeni kupiga makelele yenu wakati CCM ikiendelea kugusa maisha ya watu.
Ccm ni opportunists!
 
Tuna jua
Mahakama zote zina agizwa na Ccm na ndio hizo hizo zili hukumu Maria
Leo Ccm hao hao wana jisifu ati kaachiwa. Hovyooo
Halafu Ccm msitafute kiki za kijinga
Walio kata rufaa walikuwa ni TLS. Chama cha wana sheria Tanzania.
He who pays the pipper calls the tune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…