Iringa: Mkazi wa Dar akamatwa baada ya kuzidiwa akisafirisha Dawa za Kulevya alizomeza

Nimemtafakari nikajikuta nacheka tu .

Hizo ndiyo hasara za kuuza nyumba za urithi eti kila mtu afe na chake , sasa punda kapata hela kaingia kichwa kichwa kwenye kazi .

Jamaa ameferi sana
 
KWA MOVEMENT ZA GARI, HALAFU UKIMEZA KETE TUMBONI EMPTY, LAZIMA UTEME BUNGO.
Kona za mlima kitonga kabla kufika Mtandika
Zilivyo nyingi na kali tumbo lazima lichafuke gari ikiwa inashuka kama alimeza tumboni

Zile kona sio cha mtoto gari ikishuka ikikata kons na tumbo linakata kona lazima angetapika tu au zimpasukie tumboni afe
 
Si ndio hapo. Yani huo anapita nao na backpack kiulaini kabisa.
Yani kuna Drugs dealer wapuuzi sana, hawana Plan, na kwa sasa Mozambique ndo Source ya Madawa, sasa nikipiga hesabu kutoka Mozambique huyu mtu kalala Malawi, kesho yake kaibukia Mbeya, Mbeya aanze kuitafuta Dar, kwanza mpaka Mbeya tu ni mwastani wa masaa 48 madawa yapo Tumboni....!

Utasafirije na madawa tumboni kwa wastani wa Masaa 48 mpaka 72...!?

Huyo Mbebaji nae alikua kiazi, pale alipohisi kuna dalili ya Shida tumboni, mapema angetafuta Guest, kuna Dawa angetumia, Angeyatoa yote hayo Madawa kwa kuharisha, angesafisha tumbo, baada ya kuwa sawa siku 3 ama week angeyachimbia Nadawa yake na kuendelea na safari!

Sasa miaka 30 inamsubiri!
 
Pia kitendo cha kuingia Tanzania tu basi haikuwa na haja ya kuendelea kutunza mzigo tumboni
 
Ni mjinga angepita Lindi
 
Ndomana wafanyabiashara wa madawa wanawatumia watu aka kihongwe

Ova
 
Huyo bado alikuwa knovice kwenye game, 58 mbona chache sana..

Kete Mozambique to Dar?.... wakati Dar ndio inalisha kote huko hasa SA kupitia either konde , Zim au Swana anyway labda kuna chimbo jipya la Heroin na Mandrax Konde the bongo to China maana iko wazi sasa.

Normally huwa ni either bongo ( kiwandani) to several corners or umangani to bongo to different corners.

ok, bongoz is back into business now...nawaona watu wa Msa na jirani zao wakishine sasa na vijana wa bandari salama wakibenjuka tu sasa.. soon dada zetu wataanza kula mema ya nchi sasa.
 
Jamaa alishindwa kuoffload na kupumzisha tumbo for some days, atakuwa junior huyu.
 
Amenyoosha moja kwa moja mpaka kwa daktari famasiala nini
Hizo pipi zikianzaa kuchenguwa tumboni ni hatari sana, maana zikipata katundu kidogo tu basi lazima zikukaushe maji mwili mzima! Bora alivyo jiwai kwa Dr maana angalau ame save uhai wake japokua atakula kifungo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…