wao ni wao
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 1,179
- 2,807
Nimemtafakari nikajikuta nacheka tu .Sio hasara huyu punda akili Hana ,mzunguko ulikua mrefu Sana masaa kibao katumia njaini ,muda ambao tumbo limeaza kumgonga ndomuda sahihi alitakiwa awe bandarini akipakua mzigo ,jiulize Angelipita njia ya mtwara ambapo ,nimikoa miwili TU kaingia dar , sidhani kama alipakiwa mzigo mkubwa kushusha Mikoa yahuko alikopita
Hizo ndiyo hasara za kuuza nyumba za urithi eti kila mtu afe na chake , sasa punda kapata hela kaingia kichwa kichwa kwenye kazi .
Jamaa ameferi sana