The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Hakika!Hii mioto na ajali mfululizo barabarani siyo ishara nzuri.
Tuongeze maombi!
Eti?Hiyo impact unayoieleza ni ipi?Waliopo huko hawapati mahitaji yao? Think,then and twice!Masoko ya mikoani hayana impact!
Mimi nadhani mahitaji mliyonayo huko mjini yanatokea kwenye hayo masoko ambayo hayana impactMasoko ya mikoani hayana impact!
Acha uongo!Mimi nadhani mahitaji mliyonayo huko mjini yanatokea kwenye hayo masoko ambayo hayana impact
Nimekuja mbio nkijua soko la mjini kumbe huko madongo kuinama, habari za mkoani wala hazina mvuto na masoko ya huko hayana impact yoyote.Usiku wa jana tarehe 26 Oktoba moto umerindima na kuunguza sehemu ya soko la Mashine Tatu. Inasemekana moto huo ulianzia katika moja ya vibanda.
Chanzo bado hakijajulikana.
Pole sana kwa waliopoteza mali zao.
View attachment 1987901
View attachment 1987902
Nadhani hata hukuona ni post ya lini.Nimekuja mbio nkijua soko la mjini kumbe huko madongo kuinama, habari za mkoani wala hazina mvuto na masoko ya huko hayana impact yoyote.
Sure, nimeona moto nikaja chaapNadhani hata hukuona ni post ya lini.