Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Nasema uongo ndugu yangu??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasema uongo ndugu yangu??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol
Tumaini iringa saizi sio tena chuo kishiriki cha tumaini ndo maana kinaitwa iringa university zamani tumaini
Akili nyingi kutoka wapi?Ukiua unatakiwa kuwa na akili mingi, sio unatuma tuma vimeseji vya kishamba. Watakunasa.
Sawa.....Mbususu tamu Mkuu,kujizuia ngumu Sana.
Ni kweli zipo tu, tatizo utamu mkuuSawa.....
Ushamba wake wa hayo ni Kusababisha mauaji....
Mbususu zipo tu....
Wanatupa wakati mgumu sana sisi wazazi.mimi kwa maoni yangu hao watoto hakuna cha kusoma, yaani unakuta wanakaa chumba moja kaa wife na hubby, watasoma lini, na ndio sababu siku hizi wanamaliza vyuo na hauwezi kuwapa ajira, nimehoji kadhaa ambao wako na degrees na unakuta kuna ile tunaita MISMATCH, between kile kiko kwa karatasi yaani hio degree na kile kiko kwa kichwa cha huyu ambae ako na hiyo degree kwa karatasi, kazi kweli, ndio wanakaa miaka wakiwa mitaani, kazi ni ngono na mambo kaa hayo huko chuoni
Kweli kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]Nasema uongo ndugu yangu??
Dah!!!,RIP mtoto mzuri.Hatimaye imeishia hivi. View attachment 1808822
Inawezekana wewe Ni Kati ya haoHili mbona sio la ajabu hata, limesha zoeleka.
1 : the ability to govern and discipline oneself by the use of reason. 2 : sagacity or shrewdness in the management of affairs. 3 : skill and good judgment in the use of resources. 4 : caution or circumspection as to danger or riskAliyemnyonga mwenzie anaitwa PRUDENCE. Dah! Ama kweli Jina si jinali!!!
Dah.. Huyo Bwana Mdogo huko Jela sasa si watamgombea sana kumla?? Maana sura yenyewe ni "Baby Face" hivyo?Muuaji,kushotoView attachment 1807625
Hiyo knowledge sio kil mtu anayo... 😂 Pia ni intelligence ya mtu tu kujiongezaHakujua hata kuzima?!
Chuo kikuu hilo hakulijua?! Au ndo sumbawanga line washafanya yao?!