GE2025 Iringa: TAKUKURU yazungumza na Wazee wa Kimila kuhusu Kuzuia Rushwa katika Uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imekutana na Baraza la Mila na Desturi la Wazee wa mkoa huo kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kutambua na kufichua vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao.

Lengo kuu ni kuwawezesha wazee hao kuwa walinzi wa maadili ya uongozi na kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika mikutano ya kampeni, kuchambua sera za wagombea, na kufanya maamuzi sahihi bila ushawishi wa rushwa.

Je kwanini wazee na sii kuzungumza na wanamtandao wale wa simu moja iwe na inakuwa,iwe jambo la kheri kwa taifa ama ovu kuu kwa taifa na inawezekana iwe jua au mvua walitakalo huwa!
 
Hawa wazee ni wapumbavu Samia aliweka mabango toka 2021 kiashiria cha rushwa why hawakuuliza?!!
 
Watoa rushwa namba 1 nchini ni CCM kwani Takukuru hawajui au ndio wanatufanyia maigizo tu?.
 
Back
Top Bottom