President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Subiri na utulize mshono, bado tuna mkataba na M-Bet hadi mwisho wa msimu. Kwa sasa uhoji Jangwani Complex iliyoahidiwa na GCM kupitia mwajiriwa wakeUkiona mtu anaongea sana bila kutoa detailed information ujue ni mpigaji.
Hizo issues alizozisema aliye win tenda ya jezi za simba 80% ni porojo tu.
Hatukuambiwa lini Irizar itafika bongo ili tufuatilie, hatukuambiwa ni model gani. Vitu vyote vilivyosemwa ni ahadi hewa. Aka Virtual issues.
Mbumbu fc bana kweli wenye akili wako wawili tuUkiona mtu anaongea sana bila kutoa detailed information ujue ni mpigaji.
Hizo issues alizozisema aliye win tenda ya jezi za simba 80% ni porojo tu.
Hatukuambiwa lini Irizar itafika bongo ili tufuatilie, hatukuambiwa ni model gani. Vitu vyote vilivyosemwa ni ahadi hewa. Aka Virtual issues.
Kama wamedanganywa ni wao sisi tusubiri watakavyo paruana baadaye.Ukiona mtu anaongea sana bila kutoa detailed information ujue ni mpigaji.
Hizo issues alizozisema aliye win tenda ya jezi za simba 80% ni porojo tu.
Hatukuambiwa lini Irizar itafika bongo ili tufuatilie, hatukuambiwa ni model gani. Vitu vyote vilivyosemwa ni ahadi hewa. Aka Virtual issues.
Uto hamnazo katika moja na mbili.Ukiona mtu anaongea sana bila kutoa detailed information ujue ni mpigaji.
Hizo issues alizozisema aliye win tenda ya jezi za simba 80% ni porojo tu.
Hatukuambiwa lini Irizar itafika bongo ili tufuatilie, hatukuambiwa ni model gani. Vitu vyote vilivyosemwa ni ahadi hewa. Aka Virtual issues.
Wanakamilisha upembuzi yakinifuJangwani complex kimya gsm ni tapeli