Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Kishindo kipo tofautisha kambi za jeshi na majengo ya raiaHizi boom zinazoingia Israel hazina kishindo cha maangamizi kama zinazotua Beirut?
Mkuu, unamaanisha mabom ya nyumba za makazi na yale ya kambi za jeshi yanatofautiana?Kishindo kipo tofautisha kambi za jeshi na majengo ya raia
Ushauri wako ni upi kwa Israel iliyobondwa kwenye kambi zake za kijeshi zenye ulinzi mkali?Mkuu, unamaanisha mabom ya nyumba za makazi na yale ya kambi za jeshi yanatofautiana?
Kuna mtu anasifiwa sana kwa kupiga majengo ya raia na mtu huyo anaficha kambi zake za kijeshi zilizopigwa zisioneshwe popote kwenye mediaMkuu, unamaanisha mabom ya nyumba za makazi na yale ya kambi za jeshi yanatofautiana?
Eli Cohen ,kuuawa kwa viongozi wa Hizbollah kumeleta athari gani!?Jeshi la Israel limekiri kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ilishindwa kuzuia shambulio kubwa la roketi na kombora la Hezbollah. IDF ilisema kwamba inachunguza athari za roketi, hasara na uharibifu kwa Israeli kaskazini.
Hezbollah ilifanya mashambulizi 18 dhidi ya wanajeshi wa Israel na vituo viwili vya IDF huko Haifa na mapema Jumapili asubuhi kundi linaloungwa mkono na Iran lilifyatua risasi ya kombora katika kituo cha Nimra huko Tiberias. Tazama kwa maelezo zaidi.
View: https://youtu.be/QOkagxrmoBc?si=48vdeCPqGpUkchaV
Halafu Zelensky anautaka ukalinde Kieve dhidi ya makombora ya Mrusi.Safari hii Israel atachanganyikiwa maana Hezbollah na Iran zimemvua nguo na kuionesha dunia kwamba mtu yeyote akitaka kurusha makombora yanapiga target bila kupingwa maana mfumo wa ulinzi wa anga ni dhaifu kuliko udhaifu wenyewe.
Aise propaganda zilizokuwa zikienezwa kwamba Iron Dome ni mfumo hatari hauruhusu hata nzi kupenya anga ya Israel bila kugundulika.
Kama ameficha wewe umejuaje?Kuna mtu anasifiwa sana kwa kupiga majengo ya raia na mtu huyo anaficha kambi zake za kijeshi zilizopigwa zisioneshwe popote kwenye media
Utalinganisha kwa kigezo kipi wewe ikiwa umefichwa
Mkuu ngoma imepigwa lini hii?Jeshi la Israel limekiri kuwa mifumo ya ulinzi wa anga ilishindwa kuzuia shambulio kubwa la roketi na kombora la Hezbollah. IDF ilisema kwamba inachunguza athari za roketi, hasara na uharibifu kwa Israeli kaskazini.
Hezbollah ilifanya mashambulizi 18 dhidi ya wanajeshi wa Israel na vituo viwili vya IDF huko Haifa na mapema Jumapili asubuhi kundi linaloungwa mkono na Iran lilifyatua risasi ya kombora katika kituo cha Nimra huko Tiberias. Tazama kwa maelezo zaidi.
View: https://youtu.be/QOkagxrmoBc?si=48vdeCPqGpUkchaV
Jana. Na wapo kimya tu hawataki kusema.Mkuu ngoma imepigwa lini hii?
Kama hajaumia kwanini afiche?Kama ameficha wewe umejuaje?