Manny de Bwoy
Senior Member
- Aug 1, 2017
- 124
- 125
Endelea kujifariji 😁😁😁Waisrael hawana idadi ya kutosha ya makombora ya Iron dome kuzuia kila roketi itakayotumwa kwao.
Itafikia hatua wataanza kuchapwa mara kwa mara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kujifariji 😁😁😁Waisrael hawana idadi ya kutosha ya makombora ya Iron dome kuzuia kila roketi itakayotumwa kwao.
Itafikia hatua wataanza kuchapwa mara kwa mara
Israel analenga kuuaHizi boom zinazoingia Israel hazina kishindo cha maangamizi kama zinazotua Beirut?
Hawezi kukujibu,Kama ameficha wewe umejuaje?
Sasa umejuaje kaumia wakati ameficha punguzeni porojoKama hajaumia kwanini afiche?
Yalikuwa mahubiri ya jana hayo kanisani? Bendera ya Israel ilikuwa ikipepea kanisani huku makondoo mkipiga makofi kwa fiksi mnazopigwa na wachungaji uchwara.Hizbullah wako kwenye stage ya kutapatapa soon mtaona matokeo ya operation northern Arrow kule Lebanon
Post za kujifariji za Kobazi😁😁😁 hayo makombora yameanza kurushwa tangu 2006, tangu Oct 7 pekee makombora zaidi ya 30,000 yamerushwa kuelekea Israel na hakuna kilichotokea to date Kobazi wanaendelea kuteketea endeleeni kuweka post za hivi kuishi Kwa matumaini ni muhimu sana🤓
Hezbollah Ni wakati gani watawahakikishia ulinzi imara viongozi wakuu wa magaidi?Ushauri wako ni upi kwa Israel iliyobondwa kwenye kambi zake za kijeshi zenye ulinzi mkali?
Akili finyu hizi Sasa kanisani kunahusiana Nini na vita ya Hizbollah na Israel, Kobazi mkiishiwa hoja mnaandika chochote kama wapuuzi vileYalikuwa mahubiri ya jana hayo kanisani? Bendera ya Israel ilikuwa ikipepea kanisani huku makondoo mkipiga makofi kwa fiksi mnazopigwa na wachungaji uchwara.
Wale ni Hezbollah hawajaanza leo kujipigia Israel.
Hiyo operation unayozungumzia hujaona video jinsi asikari wa Kiyahudi walivyovunwa kwa wingi na Hezbollah huku wakizikanyaga maiti vichwani.
Hiyo operesheni hawajafanikiwa kuvuka hata kilomita 5 tangu Oktoba mosi kila wakijaribu kusogea wanakutana na mkuki wa Hezbollah.
Sasa umejuaje kaumia wakati ameficha punguzeni porojo
Nadhani sasa baada ya kujionea udhaifu wa Iron Dome atakuwa hana hamu tena ya kuagiza kimeo hicho.Halafu Zelensky anautaka ukalinde Kieve dhidi ya makombora ya Mrusi.
Kuna watu wana majaribu mabaya sana!
Unasherehekea mtu mmoja kufa Israel wakati tumbili 40k wamepotezwa Gaza, 1k West Bank na 2k Lebanon 😁View attachment 3117516
An unknown assailant attacked pedestrians in Beersheba, Israel.
Initially, police reported three injuries, but medics later stated that at least nine people were injured, one critically.
The incident occurred near the central bus station, and authorities suspect it may have been a terrorist attack. The attacker has been neutralized.
Mmoja mmoja mpaka wataisha:Unasherehekea mtu mmoja kufa Israel wakati tumbili 40k wamepotezwa Gaza, 1k West Bank na 2k Lebanon 😁
Israel Ina mifumo mingi ya ulinzi Siyo Iron Dome pekee Ina David Sling, Arrow 3, C-dome... Sijui kama mnajua inavyofanya kazi au mnaropoka tu 😁 hata drone za Ukraine zimeweza kushambulia ndani ya Urusi licha ya wao kuwa na mifumo imara ya ulinzi Rudini shule mjifunze kwanza hiyo mifumo inavyofanya kazi kabla ya kuexpose ignorance hapaNadhani sasa baada ya kujionea udhaifu wa Iron Dome atakuwa hana hamu tena ya kuagiza kimeo hicho.
Dunia sasa imeoneshwa ukweli wa porojo za Israel na mabwana zake ni uongo mtupu.
Kwani hatujui tabia yenu ya kutokuwa independent thinking badala yake hadi mlishwe matango pori kanisani ndiyo mje mharishe humu?Akili finyu hizi Sasa kanisani kunahusiana Nini na vita ya Hizbollah na Israel, Kobazi mkiishiwa hoja mnaandika chochote kama wapuuzi vile
Waache kuisha wanaopotezwa 1000 baada ya wiki waishe wanaokufa mmojammoja kukimbia shule hukuMmoja mmoja mpaka wataisha:
Islamic Jihad's military wing says it has fired rockets at Israel's Ashkelon, settlements near Gaza border
Video taken from social media. Source: @SputnikInt
Hahahaha huoni jibu au umechanganyikiwa nimekujibu kivitendo namna nilivyo jua.Jibu hoja hizo video hazijibu hoja umejuaje