Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,118
shukran madamChumvi siyo nzuri kwa mimea ila kwa binadamu nzuri
shukran madamChumvi siyo nzuri kwa mimea ila kwa binadamu nzuri
Shukran sana hadi sasa sijaona tofauti yeyote ya direct kwenye mimea ila nimeweza gundua mvua zikianza kunyesha mimea inakua haraka na kuchanua vizuri zaidi kuliko kipindi cha kiangazi natunamwagilia hayo maji,Mwezi mmoja ni mrefu sana kwenye mmea kufahamu kama kuna madhara ama la,nilifikiri wewe ungeleta ushauri kwani mpaka sasa umefanya kwa vitendo,tueleze umeona nini kwenye mmea baada yakumwagilia maji ya chumvi?
Yeah teste ya hayo maji husikii chumvi, na kama ipo (tegemea na mtu) ni kwa mbaali sana ambayo haimzuii mtu kunywa maji km wanavyosema maji ya kilimanjaoro wapo wanaodai yana chumviHapo bado sijaelewa, yaani hayo maji ukiyanywa hayana chumvi lakini yakikauka unaona chumvi chumvi?
Hebu jaribu kuwaona wataalamu waliangalie hilo eneo huwenda ni ardhi.
Kwa sababu kwa maji ilikuoneka athari yake baada ya kukauka ingebidi chumvi yake iwe Kali sana, sasa iweje uwe uihisi unapoyanywa kunywa.
Sent using Jamii Forums mobile app
| PH | 7.0 |
| Conductivity | 1724(2500) |
| Turbidity | 22(25) |
| Hardness | 252(300) |
| Calcium | 181(150) |
| Magnesium | 17(100) |
| Potassium | NA(50) |
| Sodium | 128(200) |
| Chloride | 200(250) |
| Flouride | 0.5(1.5) |
| Salphate | 331(400) |
| Nitrate | 1.5(45) |
Hata pale Arusha Technical wanayo lab ya maji kwa ajili ya irrigation n.k. watamsaidia vizuri tu. Cha msingi aende akaulizie kwanza bei zao.Chukua hayo maji na ndani ya masaa 6 yawe yamefika chuo cha maji wakupimie. Watakupa madini yote kwenye hayo maji na kama yanafaa kwa kilimo au matumizi ya binadamu
Ila hiyo chumvi huenda ni ya kwenye maji mkuu. Maana kwenye udongo kuna chumvi, huwa ukimwagilia maji mara nyingi chumvi yake hushuka chini kwenye siol profile yake (tunaita flushing).
So kwa maelezo yake huenda ni chumvi ya kwenye maji. Wewe na wenyeji wengine mnaweza kuona sio chumvi kali sababu miili yenu imezoea maji hayo.
Kwa ufupi, chukua sampuli za maji na udongo peleka lab.
Pia ili kupunguza gharama, kuna watu huwa wanavyo vipimo vidogo sana havihitaji umeme, wanaweza kukuuzia u kufanya hiyo kazi hapo hapo shambani kama unajua utaalam huo. Then ukafanya interpretation ya data zako. Kama hujui, basi tafuta wataalam.
Hata pale Arusha Technical wanayo lab ya maji kwa ajili ya irrigation n.k. watamsaidia vizuri tu. Cha msingi aende akaulizie kwanza bei zao.
Na kama hajui namna ya kufanya sampling pia aombe wamuelekeze ili kupunguza gharama.
Inawezekana vumbi la ardhini au mwamba unaweza kuhisi ni chumvi mkojo na chumvi yake haionekani kamwe ukiimwaga chini zaidi ya madhara na harufu
Nawashuku sana wote, tayari maji tumeshayapeleka maabara tunasubiri majibu ndani ya siku 10Chukua hayo maji na ndani ya masaa 6 yawe yamefika chuo cha maji wakupimie. Watakupa madini yote kwenye hayo maji na kama yanafaa kwa kilimo au matumizi ya binadamu
Umeyapeleka maabara gani?Nawashuku sana wote, tayari maji tumeshayapeleka maabara tunasubiri majibu ndani ya siku 10
Wanadai kwa maswala ya maji ndio maabara bora East AfricaUmeyapeleka maabara gani?
Ipi?Wanadai kwa maswala ya maji ndio maabara bora East Africa
Hapo bado sijaelewa, yaani hayo maji ukiyanywa hayana chumvi lakini yakikauka unaona chumvi chumvi?
Hebu jaribu kuwaona wataalamu waliangalie hilo eneo huwenda ni ardhi.
Kwa sababu kwa maji ilikuoneka athari yake baada ya kukauka ingebidi chumvi yake iwe Kali sana, sasa iweje uwe uihisi unapoyanywa kunywa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata magadi ni chumvi pia.hayo ni magadi na sio chumvi