Silicon Valley
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 1,092
- 1,118
- Thread starter
- #21
Hiyo miti itakufa na ile ambayo itavumilia haitakuwa na mazao
Kisa ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo miti itakufa na ile ambayo itavumilia haitakuwa na mazao
Kama uko Arusha, jaribu kuchukua hayo maji yalete Maabara ya Chuo Kikuu cha Nelson Mandela, kiko jirani na TengeruChukua hayo maji na ndani ya masaa 6 yawe yamefika chuo cha maji wakupimie. Watakupa madini yote kwenye hayo maji na kama yanafaa kwa kilimo au matumizi ya binadamu
Gharama zikoje?Kama uko Arusha, jaribu kuchukua hayo maji yalete Maabara ya Chuo Kikuu cha Nelson Mandela, kiko jirani na Tengeru
Unashangaa au unaona haiwezekani?100m?
Yaani urefu wa kisima chako ni sawa na urefu wa kiwanja cha mpira wa miguu?
Ipi?
| PH | 7.0 |
| Conductivity | 1724(2500) |
| Turbidity | 22(25) |
| Hardness | 252(300) |
| Calcium | 181(150) |
| Magnesium | 17(100) |
| Potassium | NA(50) |
| Sodium | 128(200) |
| Chloride | 200(250) |
| Flouride | 0.5(1.5) |
| Salphate | 331(400) |
| Nitrate | 1.5(45) |
Unashangaa au unaona haiwezekani?
Huo ndiyo ukweli maji yanayoonyesha udongo uwe mweupe ni dalili ya magadi, chumvichumvi, kwa sisi wakulima, chochote utakachopanda kitaota vizuri lakini hutovuna, vitadumaa.Hiyo miti itakufa na ile ambayo itavumilia haitakuwa na mazao
Kawaida sana huwa wanaenda zaidi ya hizo mita 100, ukitaka kuelewa zaidi humu kuna geologists wanawezakuja hapa na mambo ya aquaferns. Water tables n.k.100m?
Yaani urefu wa kisima chako ni sawa na urefu wa kiwanja cha mpira wa miguu?
Naona unaleta siasa za ccm kwenye mambo ya kitaalamu.Chumvi siyo nzuri kwa mimea ila kwa binadamu nzuri
Kama hutojali naomba nitumie hiyo pdf ya report kwenye pm!!
PH 7.0Conductivity 1724(2500)Turbidity 22(25)Hardness 252(300)Calcium 181(150)Magnesium 17(100)Potassium NA(50)Sodium 128(200)Chloride 200(250)Flouride 0.5(1.5)Salphate 331(400)Nitrate 1.5(45)
Kuna chochote hakipo hapo nikupatie ? Sbb report ni ndefu na sio kwa PublicKama hutojali naomba nitumie hiyo pdf ya report kwenye pm!!
Shukrani.
Hapo kwenye data zako naona kwenye kila item wameweka namba then mabano...Kuna chochote hakipo hapo nikupatie ? Sbb report ni ndefu na sio kwa Public
Ok nimekuelewa nilidhan kipimo cha maji ni 0.5 maximum limit 1.5Hapo kwenye data zako naona kwenye kila item wameweka namba then mabano...
Mfano floride umeweka 0.5(1.5) kiuhalisia hapo ni kama hujaweka kipimo kinachoonesha kiwango cha floride ya maji yako ila umeweka viwango kwa mujibu wa WHO na TBS!
Ndio maana nikaiomba PM ila kwa sababu haiwezekani kuwa na amani mkuu!
Inawezekana madini anayodhani chumvi ie Nacl ni madini aina ya calcium(hard water)Ila hiyo chumvi huenda ni ya kwenye maji mkuu. Maana kwenye udongo kuna chumvi, huwa ukimwagilia maji mara nyingi chumvi yake hushuka chini kwenye siol profile yake (tunaita flushing).
So kwa maelezo yake huenda ni chumvi ya kwenye maji. Wewe na wenyeji wengine mnaweza kuona sio chumvi kali sababu miili yenu imezoea maji hayo.
Kwa ufupi, chukua sampuli za maji na udongo peleka lab.
Pia ili kupunguza gharama, kuna watu huwa wanavyo vipimo vidogo sana havihitaji umeme, wanaweza kukuuzia u kufanya hiyo kazi hapo hapo shambani kama unajua utaalam huo. Then ukafanya interpretation ya data zako. Kama hujui, basi tafuta wataalam.
Naomba kujua changamoto za irrigation system source ya maji ni kisima kirefu 100 mtrs.
Ukimwagilia maji shambani kwa mpira wa kawaida baada ya km mwezi pakikauka panapauka inaiona chumvi chumvi juu ya udongo lakini hayo maji kwa kunywa huisikii kbs chumvi na tunayanywa kama kawaida.
Je, ni nini madhara yake km migomba na parachichi?
Je, unaweza kuimalizaje hiyo changamoto?
[/QUOTEHapo Ardhi ndo yenye chumvi na SI maji Mkuu .kapime huo udongoNaomba kujua changamoto za irrigation system source ya maji ni kisima kirefu 100 mtrs.
Ukimwagilia maji shambani kwa mpira wa kawaida baada ya km mwezi pakikauka panapauka inaiona chumvi chumvi juu ya udongo lakini hayo maji kwa kunywa huisikii kbs chumvi na tunayanywa kama kawaida.
Je, ni nini madhara yake km migomba na parachichi?
Je, unaweza kuimalizaje hiyo changamoto?