Irrigation system maji ya visima virefu yenye chumvi

Chukua hayo maji na ndani ya masaa 6 yawe yamefika chuo cha maji wakupimie. Watakupa madini yote kwenye hayo maji na kama yanafaa kwa kilimo au matumizi ya binadamu
Kama uko Arusha, jaribu kuchukua hayo maji yalete Maabara ya Chuo Kikuu cha Nelson Mandela, kiko jirani na Tengeru
 
100m?

Yaani urefu wa kisima chako ni sawa na urefu wa kiwanja cha mpira wa miguu?
 
Hiyo miti itakufa na ile ambayo itavumilia haitakuwa na mazao
Huo ndiyo ukweli maji yanayoonyesha udongo uwe mweupe ni dalili ya magadi, chumvichumvi, kwa sisi wakulima, chochote utakachopanda kitaota vizuri lakini hutovuna, vitadumaa.
Labda aweke samadi kwa wingi ya wanyama kama ng'ombe na siyo kuku.
Na mvua ziwe nyingi! Kupunguza athari.

Sijui jamaa kapimia maabara ipi??

Everyday is Saturday............................... 😎
 
100m?

Yaani urefu wa kisima chako ni sawa na urefu wa kiwanja cha mpira wa miguu?
Kawaida sana huwa wanaenda zaidi ya hizo mita 100, ukitaka kuelewa zaidi humu kuna geologists wanawezakuja hapa na mambo ya aquaferns. Water tables n.k.

Everyday is Saturday................................😎
 
PH
7.0
Conductivity
1724(2500)
Turbidity
22(25)
Hardness
252(300)
Calcium
181(150)
Magnesium
17(100)
Potassium
NA(50)
Sodium
128(200)
Chloride
200(250)
Flouride
0.5(1.5)
Salphate
331(400)
Nitrate
1.5(45)
Kama hutojali naomba nitumie hiyo pdf ya report kwenye pm!!

Shukrani.
 
Kuna chochote hakipo hapo nikupatie ? Sbb report ni ndefu na sio kwa Public
Hapo kwenye data zako naona kwenye kila item wameweka namba then mabano...

Mfano floride umeweka 0.5(1.5) kiuhalisia hapo ni kama hujaweka kipimo kinachoonesha kiwango cha floride ya maji yako ila umeweka viwango kwa mujibu wa WHO na TBS!

Ndio maana nikaiomba PM ila kwa sababu haiwezekani kuwa na amani mkuu!
 
Ok nimekuelewa nilidhan kipimo cha maji ni 0.5 maximum limit 1.5
 
Inawezekana madini anayodhani chumvi ie Nacl ni madini aina ya calcium(hard water)
 
Chu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…