A
Anonymous
Guest
Mamlaka ya Maji Iringa IRUWASA inakatia wateja maji hadi wanaodaiwa bili ya shilingi elfu moja kwa mwezi mmoja na kuwalazimu kulipa garama za kurudisha maji elfu 15.
Wanafanya hivyo ili mamlaka ya maji iweze kuongeza makusanyo, hatujawasiliana na yeyote hakuna ushirikiliano na wananchi hatuna pa kusemea.