You don't believe in God, in contrast, not believing in God is believing in Satan. That means, you are a Satanist. Impugn if you can.Those are false accusations. read my posts about my stand
je pense,donc je suis: I think, therefore, i am.you don't believe in god, in contrast, not believing in god is believing in satan. That means, you are a satanist. Impugn if you can.
I told you already, there is no ground zero in the issues of god. You either believe in god or you do not believe in god which is believing in satan by default.
Non theism means, believing in No God without evidence.
for the very first time, you consented that you are a worshiper of lucifer.
fallaciespure satanic confession.
Kwa mujibu wa haya maelezo yako hujui Shetani nu kitu gani,unawezaje kupinga usichokijua?Kama kuna sifa zake ambazo wewe hukubaliani nazo na unadai ukiziona zinaonekana ni za kufikirika zaidi,kwanini unadhani hivyo?Kitu gani kinakufanya ufikie hilo hitimisho?I do not belief in Satan, what is satan? that should be the first question. What do people believe about satan? Then if you mention all the attributes of satan you just find that satan is merely an imaginary being. It is not a substance only exist as far as human mind exists. In other words satan is not a being which exist independent. is not I tend to think people hold the view of Satan because they do not want to accept their moral responsibility and natural occurrence of event on earth.
Kwa mujibu wa haya maelezo yako hujui Shetani nu kitu gani,unawezaje kupinga usichokijua?Kama kuna sifa zake ambazo wewe hukubaliani nazo na unadai ukiziona zinaonekana ni za kufikirika zaidi,kwanini unadhani hivyo?Kitu gani kinakufanya ufikie hilo hitimisho?
Umejuaje kwamba hatuwezi kuyatafakari baadhi ya mambo na kuyaelewa kwa uwezo wetu wa kufikiri?Ni sawa nimeanza na assumption kwenye swali langu,lakini sijafanya hivyo ili kujenga hoja ya uwepo wa Mungu bali nilitaka nikuoneshe matatizo ya msimamo wakoYou know people pretend to know things which we cannot by our intellect. we are limited, question of either god exists or not is the matter of faith but if you use reasons to establish his existence then there the problem starts. You said that"Hivi inakuwaje kama Mungu yupo lakini watu wanashindwa tu kutoa maelezo mazuri yanayohusu uwepo wake?" First when you use the word Hivi,it is already a presumption so you cannot assert something based on presumption in order to get the results you want.
Inawezekana ni kweli mtu akatia hoja ambayo ikaonekana ina nguvu,still,kutafakaribna kujenga msimamo wako mwenyewe ni jambo la.msingi sana,huwezi kujenga msimamo wako kutokana na mtazamo au hoja ya mtu kwasababu hujatumia muda wako kutafakari na kupata majibu,hili litakufanya uonekane wa ajabu pale ambapo itaulizwa swali ambalo liko nje ya kile ulichoambiwa na ukakosa kabisa jibuKutafakari kwa wakati na uwezo wako ni jambo jema sana kwa afya ya akili!"Kujenga msimami kutokama na misimamo ya watu kuhusu Mungu ni hatari sana!" I am agree with you to some extent. i am agree in sense that one should be able to give his own reasons on something he believe to be true however i disagree in the sense that our knowledge is shared so it sound strange for someone to believe sth even if you see ur counter argument is powerful. Therefore,It is not the matter of being rigid and seal yourself from your beliefs but rather to be open minded and be objective and honest enough.
Kabla ya huko ni vizuri ukajibu swali kwanza mkuu ...!!sorry for not answer question but i would like to know what is satan. what is the essence of that being
Umejuaje kwamba hatuwezi kuyatafakari baadhi ya mambo na kuyaelewa kwa uwezo wetu wa kufikiri?Ni sawa nimeanza na assumption kwenye swali langu,lakini sijafanya hivyo ili kujenga hoja ya uwepo wa Mungu bali nilitaka nikuoneshe matatizo ya msimamo wako Inawezekana ni kweli mtu akatia hoja ambayo ikaonekana ina nguvu,still,kutafakaribna kujenga msimamo wako mwenyewe ni jambo la.msingi sana,huwezi kujenga msimamo wako kutokana na mtazamo au hoja ya mtu kwasababu hujatumia muda wako kutafakari na kupata majibu,hili litakufanya uonekane wa ajabu pale ambapo itaulizwa swali ambalo liko nje ya kile ulichoambiwa na ukakosa kabisa jibuKutafakari kwa wakati na uwezo wako ni jambo jema sana kwa afya ya akili!

Kiongozi, Salama lakini? Naona unakata nyasi kwa Buldoza. Safi sana Kiongozi.Kwa mujibu wa haya maelezo yako hujui Shetani nu kitu gani,unawezaje kupinga usichokijua?Kama kuna sifa zake ambazo wewe hukubaliani nazo na unadai ukiziona zinaonekana ni za kufikirika zaidi,kwanini unadhani hivyo?Kitu gani kinakufanya ufikie hilo hitimisho?
Kwa mujibu wa haya maelezo yako hujui Shetani nu kitu gani,unawezaje kupinga usichokijua?Kama kuna sifa zake ambazo wewe hukubaliani nazo na unadai ukiziona zinaonekana ni za kufikirika zaidi,kwanini unadhani hivyo?Kitu gani kinakufanya ufikie hilo hitimisho?
Birth pangs. That is you, a foolish person who claims there is no God without any evidence. It is foolishness to be a non theists like Free ideas and KirangaThis is bullshit young man