Is Atheism Satanism?

Du.
As a believer in God i support science 100% ili mradi tu iwe inaenzi utu na uhai.
To support science is one thing and to limit your thinking to scientific discoveries is quite something else.
Hebu ndugu yangu unayeamini katika science. That is kmowledge. Not belief. Tofautisha ujuzi na imani. Ukishaona kitu swala la kuamini halipo. Hapo ni kuchota tu ujuzi.
Imani ni kwa yale ambayo bado kwa upeo wa kibinadamu hatuelewi. Ila kwa ishara na mitume kama mohamed na yesu tunaimarishwa.
Sayansi mpaka sasa imeweza kuelezea mambo mengi. Ila bado mengi sana tena zaidi ya haya yaliyofichuliwa. Imagine tu mwili wa binadamu. Bado kabisa. Imagine hata viumbe tu walio duniani kila mwaka vinagunduliwa vipya. How can you put all your marbles there???
Yani umeishia hàpo?
Pole mwaya.
Sie wenye dini zetu. Wengine tu wana sayansi na tunajua jinsi inavyotia unyenyekevu humbling pale unapojua kuwa behing all that human research kuna source inayounganisha vyote na ilikuwapo tangu enzi na enzi
 
Hahahahahaaaa yaleyale ya ku-prove that blablah is blablah
Owkey guyz i believe in DE LION OF JUDAH
I believe he do exist
Let me run out of here byeeeee

.made in mby city.
 
God is the beginner of science. In fact, science doesn't prove anything than supporting what God created.

Example: Newton's law does not create gravity but prove gravity. Now, where is the genesis of gravity? That is why we need God,
 
Hahahahahaaaa yaleyale ya ku-prove that blablah is blablah
Owkey guyz i believe in DE LION OF JUDAH
I believe he do exist
Let me run out of here byeeeee

.made in mby city.
The Lion of Judah.

Jesus is the Lion of Judah
 

Is that "you"?
 
Mtu mmoja humu anajenga hoja eti atheism kazi yake ni kutumia nguvu na muda wao kusambaza imani yao,kwani hii nayo ni imani?
 
Mtu mmoja humu anajenga hoja eti atheism kazi yake ni kutumia nguvu na muda wao kusambaza imani yao,kwani hii nayo ni imani?
Atheism is a religion and you need faith to believe that God does not exist.
 
Your comment proves you do not engage in the reasoning process.
 
Hizi mada ni controversial sana, hamuwezi fikia hitimisho theists vs atheists
Tatizo kubwa ni hawa wanao pinga. Hata jina lao ni tegemezi kwa theists. Lakini hawana uwezo wa kujibu kwa ushahidi bali kubisha kama chokaraa wa mitaani kule Langata Road, Nai
 
Kusema kweli mimi sijawahi kugongewa mlango wala kusimamishwa na atheist njiani akiniambia niachane na habari za Mungu, Wakristo wasumbufu sana, kila siku hodi haziishi kwangu, njiani, kwenye basi...kote huko naambiwa nimkabidhi yesu maisha yangu, seriously?!
 
Science ni sehemu ya Ukristo na sio kamawengie wanavyo fikiria.
 
Kwasababu wanapenda uwe na maisha mazuri baada ya kifo.
 
NOTE:

Witchcraft is non theism just like paganism is satanism.
 
Halafu mkuu roho inaishi ndani ya mwili hai tu. Mwili ukipoteza uhai kwa ajali au maradhi roho nayo inapotea(cease to be). Nina maana roho haiwezi kuwepo nje ya mwili. Wale wanaojilipua ili roho zao ziende mbinguni ni porojo tu, wanakua tu dead meat.
Sio kweli ndugu, roho haifi bali uendelea kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…