Du.
As a believer in God i support science 100% ili mradi tu iwe inaenzi utu na uhai.
To support science is one thing and to limit your thinking to scientific discoveries is quite something else.
Hebu ndugu yangu unayeamini katika science. That is kmowledge. Not belief. Tofautisha ujuzi na imani. Ukishaona kitu swala la kuamini halipo. Hapo ni kuchota tu ujuzi.
Imani ni kwa yale ambayo bado kwa upeo wa kibinadamu hatuelewi. Ila kwa ishara na mitume kama mohamed na yesu tunaimarishwa.
Sayansi mpaka sasa imeweza kuelezea mambo mengi. Ila bado mengi sana tena zaidi ya haya yaliyofichuliwa. Imagine tu mwili wa binadamu. Bado kabisa. Imagine hata viumbe tu walio duniani kila mwaka vinagunduliwa vipya. How can you put all your marbles there???
Yani umeishia hàpo?
Pole mwaya.
Sie wenye dini zetu. Wengine tu wana sayansi na tunajua jinsi inavyotia unyenyekevu humbling pale unapojua kuwa behing all that human research kuna source inayounganisha vyote na ilikuwapo tangu enzi na enzi