Is Atheism Satanism?

Is Atheism Satanism?

ok, nimeshaelewa tatizo lako, KUSOMA KITABU KIMOJA TU,KILICHOANDIKWA NA VILAZA WA ENZI HIZO! Hauwezi kuwa na mawazo huru kama umejifungia ndani ya box na hautaki kutoka uone yaloiyo nje, hiyo ndiyo dunia yako, imekutia upofu hauamini kama kuna mwanga nje! walioniumba mimi ni baba na mama, kama wewe unaamini kuwa uliumbwa na mzimu uitwao mungu wakati unawaona kabisa wazazi wako basi utakuwa na matatizo ya akili!
Bado unatumia assumption kwa kusema vitu ambavyo huvifahamu. Hujui elimu yangu ni ipi. Ndio maana wewe ukafia jibu la kusema Mungu hayupo kisa, eti haonekani. That is below par. Muuliz mwenzako mpenzi wa IGNORE LIST, kwanini kanikimbia. Hilo ni jibu tosha kuwa Vitaab vilivyopo kwenye Bongo yangu vinauwezo wa kumsabaratisha God Hater yeyote yule.
 
Halafu mkuu roho inaishi ndani ya mwili hai tu. Mwili ukipoteza uhai kwa ajali au maradhi roho nayo inapotea(cease to be). Nina maana roho haiwezi kuwepo nje ya mwili. Wale wanaojilipua ili roho zao ziende mbinguni ni porojo tu, wanakua tu dead meat.
NB: Mwili unakuwa na UHAI kwasababu ya uwepo wa Roho Ndani yake. The absence of the Spirit of Man in the body, is the presence of spirit of death in the same body.
 
Exactly mkuu this is a huge problem and its originate from our universities, yani people dont give credit kabisa from their sources!
Tumia ile ID yako "unaifahamu ni ipi" halafu nenda kule uliko kimbia ukajibu maswali.
 
ok, nimeshaelewa tatizo lako, KUSOMA KITABU KIMOJA TU,KILICHOANDIKWA NA VILAZA WA ENZI HIZO! Hauwezi kuwa na mawazo huru kama umejifungia ndani ya box na hautaki kutoka uone yaloiyo nje, hiyo ndiyo dunia yako, imekutia upofu hauamini kama kuna mwanga nje! walioniumba mimi ni baba na mama, kama wewe unaamini kuwa uliumbwa na mzimu uitwao mungu wakati unawaona kabisa wazazi wako basi utakuwa na matatizo ya akili!

Wenzako wanafungua Makanisa: First Church of Atheism | Minister's Site
 
Sio assumption

Hakuna ushahidi kwa kitu/mtu ambacho HAKIPO,bali ushahidi upo kwa kitu KILICHOPO ama kinachoelezeka,kupimika n.k.

Anayetakiwa kuleta ushahidi ni wewe unaedai KIPO/YUPO.

Aiseee .....

Utaeendelea kuchekesha watu hapa wewe
Yaani unadai sio assumption
Halafu unasema huna ushahidi
Unajua assumption ni nini?

Kaazi kweli kweli!
 
Hakuna kipya hapa!,Nitaujibu huu uzi kwa kifupi ka ifuatavyo.
1.Kwanza kuwepo kwa neno"IN GOD WE TRUST",katika noti ya marekani halisababishi mimi(Atheist )nisiitumie.Kwanza lazima ujue Atheism sio DINI,ukishajua hivyo hutauliz aswali kama hilo.

Hapa namaanisha kwamba mfano,mwislam niarufuku kwenda kanisani na kusali ama mkrito kwenda mskitin kusali.Sisi hatuko hivyo .Atheism IS THE COMMON SENSE.

2.Kutumika kwa bandiko lile halituondolei chohote maana sisi sio dini na hatuko kurumbana ama kugombea kitu(afuasi wala maslahi,We are the best thinkers).Na ndio maana 96% ya kila kitu duniani tunaendesha sisi(scientists ).

3.Ukitaka tusitumie dola ya marekani eti kwa sababj ina neno,"IN GOD WE TRUST",Basi mwambie Papa(baba yenu mtakatifu) atoe zile mike zote pale Vatican,na pia atumie majani ya migomba kuhifadhi Documents zake badala ya Laptops ambayo ni kazi ya scientists mnaowapinga.Kisha mwambie akitaka kwenda kwao Argentina ama popote katika safari ya kikazi asitumie ndege bali aende kwa miguu ama ngamia au mwanapunda.

Pia mwambie shekhe mkuu wa pale mecca ama medina,awe anatumia ngamia kwenda misri sio ndege!.
Mbona mnataka kukata tawi mlilokalia? Nyie wazima kweli?

Kuna siku niliwauliza swali kwba mnbie matatizoatatu ambayo dini imeyatatua mapaka sasa hakuna aliyenijibu zaidi ya blah blah!!,
 
Kuitumia kwako ni kukiri kuwa unakubali kuwa IN GOD WE TRUST na hauna jinsia bali kuendelea kukubali kufuata MFUMO KRISTO. Kwa taarifa yako vilevile UKRISTO SIO DINI. Sasa niulize Ukristo ni nini? Maaa wewe umejaa assumptions na huwezi kuzisaida kwa verifiables facts.

Hapa namaanisha kwamba mfano,mwislam niarufuku kwenda kanisani na kusali ama mkrito kwenda mskitin kusali.Sisi hatuko hivyo .Atheism IS THE COMMON SENSE.
Pole sana kwa kuendelea kujidanganya. Nyie mnaenda kanisani kama sie, labda wewe ni mpagani wa ki non theist. Hili hapa ni kanisa lenu. Sina haja ya kuandikaia mate wakati wino upo.

2.Kutumika kwa bandiko lile halituondolei chohote maana sisi sio dini na hatuko kurumbana ama kugombea kitu(afuasi wala maslahi,We are the best thinkers).Na ndio maana 96% ya kila kitu duniani tunaendesha sisi(scientists ).
You are not the best thinkers but sinkers. A thinker is a person who can support her/his belief. You can not support either the negative god or the fallacy that God does not exist. You are a BLIND FOLLOWER of a CULT that can not support her belief.

3.Ukitaka tusitumie dola ya marekani eti kwa sababj ina neno,"IN GOD WE TRUST",Basi mwambie Papa(baba yenu mtakatifu) atoe zile mike zote pale Vatican,na pia atumie majani ya migomba kuhifadhi Documents zake badala ya Laptops ambayo ni kazi ya scientists mnaowapinga.Kisha mwambie akitaka kwenda kwao Argentina ama popote katika safari ya kikazi asitumie ndege bali aende kwa miguu ama ngamia au mwanapunda.
Sio, usitake kutumia USD, nyie hamna chenu hapa duniani. Nyie mnatendelea kuwa TEGEMEZI katika kila jambo. Hata jina lenu ni TEGEMEZI kutoka kwetu, ZAIDI YA HAPO, Hamna ubavu wa kuanzisha fedha zenu.

Pia mwambie shekhe mkuu wa pale mecca ama medina,awe anatumia ngamia kwenda misri sio ndege!.
Mbona mnataka kukata tawi mlilokalia? Nyie wazima kweli?
Kwa taarifa yako, sio scientists wote ni WAPINGA MUNGU na GOD HATERS kama wewe. Ndio maana bado hujajibu swali. KWANINI MNATUMIA HELA ZETU ZILIZO ANDIKWA "IN GOD WE TRUST"? Why are you using our monies?

PATA List fupi kwa msaada: Famous Scientists Who Believed in God

Kuna siku niliwauliza swali kwba mnbie matatizoatatu ambayo dini imeyatatua mapaka sasa hakuna aliyenijibu zaidi ya blah blah!!,
Tatizo la kwanza ni MONEY. The money you are chasing everyday is from us. NDIO MAANA HAKUNA ATHEIST TAJIRI HAPA DUNIANI. Jiulize, kwanini nyie ni MASKINI TU?

Pole sana kwa kuwa BLIND FOLLOWER of a diabolical cult that can not support her BELIEF. Do you believe that God does not exist and you can support your BELIEF or you are SURE THERE IS NO GOD and you can give us impeccable evidence of your fiendish belief?

KWA TAARIFA YAKO:
Albert Einstein BELIEVED IN GOD
 
Last edited by a moderator:
Hizi mada ni ngumu kwangu naona kama vile mnasoma upadri au ni mapadri au mabrother.
 
Hakuna kipya hapa!,Nitaujibu huu uzi kwa kifupi ka ifuatavyo.
1.Kwanza kuwepo kwa neno"IN GOD WE TRUST",katika noti ya marekani halisababishi mimi(Atheist )nisiitumie.Kwanza lazima ujue Atheism sio DINI,ukishajua hivyo hutauliz aswali kama hilo.

Kuna siku niliwauliza swali kwba mnbie matatizoatatu ambayo dini imeyatatua mapaka sasa hakuna aliyenijibu zaidi ya blah blah!!,
Naona ulisha kubali au saliti amri.
 
Aiseee .....

Utaeendelea kuchekesha watu hapa wewe
Yaani unadai sio assumption
Halafu unasema huna ushahidi
Unajua assumption ni nini?

Kaazi kweli kweli!
Halafu anataka sie tumjibie assumptions zake. Kuna vituko sana hapa duniani.
 
Hakuna kipya hapa!,Nitaujibu huu uzi kwa kifupi ka ifuatavyo.
1.Kwanza kuwepo kwa neno"IN GOD WE TRUST",katika noti ya marekani halisababishi mimi(Atheist )nisiitumie.Kwanza lazima ujue Atheism sio DINI,ukishajua hivyo hutauliz aswali kama hilo.

Hapa namaanisha kwamba mfano,mwislam niarufuku kwenda kanisani na kusali ama mkrito kwenda mskitin kusali.Sisi hatuko hivyo .Atheism IS THE COMMON SENSE.

2.Kutumika kwa bandiko lile halituondolei chohote maana sisi sio dini na hatuko kurumbana ama kugombea kitu(afuasi wala maslahi,We are the best thinkers).Na ndio maana 96% ya kila kitu duniani tunaendesha sisi(scientists ).

3.Ukitaka tusitumie dola ya marekani eti kwa sababj ina neno,"IN GOD WE TRUST",Basi mwambie Papa(baba yenu mtakatifu) atoe zile mike zote pale Vatican,na pia atumie majani ya migomba kuhifadhi Documents zake badala ya Laptops ambayo ni kazi ya scientists mnaowapinga.Kisha mwambie akitaka kwenda kwao Argentina ama popote katika safari ya kikazi asitumie ndege bali aende kwa miguu ama ngamia au mwanapunda.

Pia mwambie shekhe mkuu wa pale mecca ama medina,awe anatumia ngamia kwenda misri sio ndege!.
Mbona mnataka kukata tawi mlilokalia? Nyie wazima kweli?

Kuna siku niliwauliza swali kwba mnbie matatizoatatu ambayo dini imeyatatua mapaka sasa hakuna aliyenijibu zaidi ya blah blah!!,
Naona imekimbia majibu. Pole sana kijana
 
Back
Top Bottom