Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Post uliyotoa hizo nnukuu mbili nimeshaelezea.YAHWEH au kwa kiswahili MUNGU ndio anaongelewa hapa
Mkuu ulishasema umefanya utafiti kuwa MUNGU hayupo nikasema well and good je huo utafiti uliufanyia wapi..... Ulitumia vigezo gani au nini kupima existence ya DEITY inayoitwa MUNGU maana sijawahi sikia kuna formula ya kisayansi inaweza tambua existence ya DEITY wwe umetumia ipi hadi ukasema kitu kinaitwa MUNGU hakipo.... yaani ulienda mbinguni ukamkuta hayupo au ulisoma kitabu tu ukaishia hipo nipe BASIS ya claim zako kama nilivyoomba toka mwanzo
Nasubiri ujibu hili ndio uulize maswali yote niko hapa kujibu siendi kokote leo
A self contradicting concept cannot exist in reality apart from the concept itself.
Your God is self contradicting, for the reasons given.
Therefore, your God cannot exist.
Sasa ambacho hujaelewa hapo ni kipi?