Is Atheism Satanism?

Is Atheism Satanism?

YAHWEH au kwa kiswahili MUNGU ndio anaongelewa hapa

Mkuu ulishasema umefanya utafiti kuwa MUNGU hayupo nikasema well and good je huo utafiti uliufanyia wapi..... Ulitumia vigezo gani au nini kupima existence ya DEITY inayoitwa MUNGU maana sijawahi sikia kuna formula ya kisayansi inaweza tambua existence ya DEITY wwe umetumia ipi hadi ukasema kitu kinaitwa MUNGU hakipo.... yaani ulienda mbinguni ukamkuta hayupo au ulisoma kitabu tu ukaishia hipo nipe BASIS ya claim zako kama nilivyoomba toka mwanzo

Nasubiri ujibu hili ndio uulize maswali yote niko hapa kujibu siendi kokote leo
Post uliyotoa hizo nnukuu mbili nimeshaelezea.

A self contradicting concept cannot exist in reality apart from the concept itself.

Your God is self contradicting, for the reasons given.

Therefore, your God cannot exist.

Sasa ambacho hujaelewa hapo ni kipi?
 
Okay so umeobserve kuwa concept ya uwepo wa Mungu inajicontradict ndio maana unasema hakuna EXISTENCE ya Mungu well and good

Hivyo ni wapi nadharia ya uwepo wa Mungu imejicontradict tuanzie hapo
 
Mbona hili nishalionesha hapo juu?

Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kuwepo, wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kuwepo?

This is a contradiction.

Ondoa contradiction hii.

Usiniambie habari ya dhambi. Mungu angeweza kuumba ulimwengu ambao dhambi haipo.

Usiniambie habari ya free will. Mungu angeweza kuumba ulimwengu ambao free will ipo na tunaweza kuchagua mazuri tu.

Usiniambie habari ya shetani. Mungu angeweza kuumba ulimwengu ambao Shetani haezi kuwepo.
 
Kiranga mbona hueleweki ni kwamba unapinga kuwa DEITY inayoitwa MUNGU haipo au unapinga kuwa hiyo DEITY inayoitwa MUNGU haina sifa inazojisabihisha nazo ingawa inaexist???

Embu eleza unataka kujua kipi kati ya hayo
 
Deity inayoitwa Mungu, yenye sifa za ujuzi wa yote, uwezo wote na upendo wote, iliyoumba ulimwengu huu, siyo tu haipo kiuhalisia, haiwezi kuwepo.

Kwa sababu, dhana ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.

Kusema Mungu huyo yupo, ni sawa na kusema kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara katika Euclidean geometry.

Kitu hicho kinasemeka tu, hakiwezi kuwepo, kwa sababu pembetatu haiwezi kuwa duara hapo hapo iwe "pembetatu duara"

Dhana ina contradiction. Contradiction hii inaifanya dhana ile isiweze kuwepo katika uhalisi.

Dhana ya Mungu kuwepo kiuhalisi ni kama dhana ya "pembetatu duara" hiyo kuwapo kiuhalisi.

Pembetatu duara haipo, kwa sababu dhana ya kuwapo kwake ina contradiction.
Mungu huyo hayupo, kwa sababu dhana ya kuwepo kwake ina contradiction.
 
Mkuu unajua bado unajicontradict hivi Uwepo wa Mungu unahusiana nini na ww kuhoji kuwa kama yupo kwanini kuna suffering kwanni kuna mabaya???

Yaani kama kuna reasons zina justify hayo mambo ya suffering na mabaya kuwepo je ina uhusiano gani na uwepo wa Mungu??

Je nkikupa reasons kwanini Mungu ameyaruhusu yote hayo je utakubali Mungu yupo au hayo mawili hayatenganishwi

Hapo ndipo sikuelewi kabisa unafungamanishaje kuwepo kwa Mungu na sababu zinazopelekea matatizo kuwepo??? Je ikiwa Mungu anauwezo wote na upendo ila karuhusu hayo kwa SABABU... Je inafanya existence yake isiwepo???
 
If God doesn't exist, where is the satan? There is neither God nor satan. We as human beings since we have rationality, stick to what is good and avoid evil, just follow natural law eg. To kill is bad etc in the place you are just follow your constitution which you were involved instead those books you claim to be God's word. No life after death you just perish like other irrational beings. Let us assume we are all atheists.
 
Mkuu unajua bado unajicontradict hivi Uwepo wa Mungu unahusiana nini na ww kuhoji kuwa kama yupo kwanini kuna suffering kwanni kuna mabaya???

Yaani kama kuna reasons zina justify hayo mambo ya suffering na mabaya kuwepo je ina uhusiano gani na uwepo wa Mungu??

Je nkikupa reasons kwanini Mungu ameyaruhusu yote hayo je utakubali Mungu yupo au hayo mawili hayatenganishwi

Hapo ndipo sikuelewi kabisa unafungamanishaje kuwepo kwa Mungu na sababu zinazopelekea matatizo kuwepo??? Je ikiwa Mungu anauwezo wote na upendo ila karuhusu hayo kwa SABABU... Je inafanya existence yake isiwepo???
Umeelewa mantiki ya argument yangu?

Nimekualika utatue contradictions, halafu unaniuliza ukinipa reasons kama nitakubali, unajua kusoma?

Unajua reasons ni nini?

Unajua imani yako haina reason?

Unajua ukianza ku reason unatoka katika imani?
 
Umeelewa mantiki ya argument yangu?

Nimekualika utatue contradictions, halafu unaniuliza ukinipa reasons, unajua kusoma?
Argument yako nimeielewa ndio maana nasema inajichanganya maana unafungamanisha SIFA za huyo MUNGU na UWEPO wa huyo MUNGU

Hivyo ni vitu viwili tofauti reason being

Unasema Mungu ni muweza wa yote kwanni aunde dhambi na mabaya why asiumbe perfect world...... Mungu ana upendo kwanni kuna shida na tabu n.k???

Ndio nachosema MUNGU existence yake haiwezi kuwa limited kwa IMPACT YA MAAMUZI yake.... Hayo yanakuwa mambo mawili tofauti yasiyofungamana

1. Mungu ana exist ana upendo na uweza wote..
2. Matatizo na mabaya na tabu yamekuja kupitia hukumu ya MUNGU kwa wanadamu....

Sasa contradiction ni ipi hapo

NB:Mungu ni mwenye upendo na haki na ndio biggest character zake na maamuzi yake yote yanarotate kupitia hizi sifa zake kuu 2.... Hivyo aliumba ulimwengu ukiwa perfect sababu ya UPENDO ila alihukumu sababu ya HAKI hivyo hakuna contradiction yeyote sababu kwake UPENDO na HAKI vinaenda sawia na ndio maana hata akihukumu bado anasamehe na akikupenda ila ukikosea anakuadhibu kama ambavyo kuna magonjwa kifo shida n.k so usivisubstitute na EXISTENCE YA MUNGU
 
Unaelewa kwamba unahubiri na hujatatua contradiction?

Unaelewa kwamba hakuna kipya utakachonihubiria wewe kumhusu Mungu huyo leo?

Unaelewa immanent critique ni nini?

Unaelewa kwamba nikikwambia pembetatu ambayo hapo hapo ni duara haiwezi kuwepo, kwa sababu pembetatu haiwezi kuwa hapo hapo duara, nimekwambia haipo, sijakwambia ipo ila tabia zake hazipo?
 
Kiranga usipende kuhamisha mjadala ulichosema wwe ni kwamba Mungu muweza wa yote hawezi kuwepo sababu kama angekuwepo kwanini asiweze kufanya mambo yote yawe perfect and all blah blah so bakia hapo usilete nadharia na critique zingine maana hta kuna critique kibao tu dhidi ya atheists na naturalists nimeshasoma so don't make it a big deal

Nlichohubiri as you say ni kwamba Existence ya Mungu haiwi limited na decisions zake ina maana Mungu anaweza kuexist amidst uwepo wa matatizo na mateso duniani no matter sababu ilizopelekea hayo kutokea ni nini hilo ndio nataka uelewe

Ikimaanisha God exists ila matatizo yanatokana na circumstances za hukumu ya Mungu kwa mwanadamu fullstop sasa ambacho kinajicontradict ni kipi???

Elewa kwanza nilichosema ndio ukosoe sio unaingia kwenye debate kwa kulazimisha majibu

God's existence is separated from circumstances of HIS decisions tuanzie hapo kwanza
 
Hata hoja yangu hujaielewa.

Contradiction ya problem of evil hujaitatua.

Kwa sababu Mungu wako hayupo.
 
Nmekuelewa sana ndio nmesema uwepo wa evil duniani ni circumstances za maamuzi ya Mungu

Meaning ilitakiwa ukubali kuwa MUNGU ana exist ndio hapo ungehoji je kwanni hana consistency au kwanni anajicontradict as you say ila sio kufungamanisha hayo mawili wakati ni variable mbili tofauti kabisa sijui na wwe unaelewa nachosema

Maana kuna uwezekano wa DEITY kuexist na ikajicontradict at the same time ambayo inakuwa kitu tofauti kabisa na existence yake rejea myths za akina shamash na utnapishtim hicho ndio nataka ukigawanyishe ndio mjadala tutaelewana vizuri
 
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote aamue kuumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?

Hujajibu swali hili.

Nakuuliza, inakuwaje katika Euclidean geometry, ambapo tunajua pembetatu ina nyuzi 180, na duara lina nyuzi 360, kuwepo na pembetatu ambayo hapo hapo ni duara?

Unanijibu kuna uwezekano wa pembetatu kuwa duara hapo hapo katika Euclidean geometry, rejea hadithi za alfu lela ulela.

Onesha kivipi pembetatu inaweza kuwa duara hapo hapo. Usiniambie habary za myths.

Ukileta habari za myths, chochote kinaweza kuwa chochote na chochote hakiwezi kuwa chochote na chochote hakina maana yoyote na kina maana zote kwa wakati mmoja na wote na hata bila wakati!
 
Kiranga kiranga nlichotaka useparate kwanza God's existence and God's incosistence/contradictions ndio uhame hoja..... Ukishakubali ni vitu viwili tofauti ndio unahoji kwanini Mungu ana exist na bado anaruhusu majanga na blah blah zingine zitokee duniani baki hapo kwanza ukishatenganisha ndio uulize hilo swali lako lakini bado hufanyi hivyo tutafika kweli???
 
Nimetofautisha.

Nimesemakwamba, ili Mungu A awepo, inabidi characteristics zake ziweze kuwepo bila contradiction.

Katika Euclidean Geometry, ili pembetatu duara iwepo, inabidi dhana ya pembetatu ambayo hapo hapo ni duara iwezekane,isiwe na contradiction.

Katika Euclidean Geometry, dhana ya pembetatu ambayo ni duara haiwezi kusimama bila contradiction.

Kwa sababu pembe tatu inapembe tatu,duara haina pembe.

Pembe tatu ina nyuzi 180, duala lina nyuzi 360.

Hivyo, kwa sababu dhana ya pembetatu duara haiwezi kusimama bila contradiction, pembetatu ambayo hapo hapo ni duara haiwezi kuwepo, ni kitu cha kusemekana tu, lakini hakipo kiuhalisia.

Sasa wewe unaniambianitenganishe dhana ya pembetatu duara kutowezekana kuwepokwa sababu ya contradiction na pembetatu duara yenyewe.

Unataka kuleta mazingaombwe,abracadabra, karata tatu, a sleight of hand, mauzauza.

Kwa sababu huyo Mungu hayupo.

Unataka kulazimisha pembetatu ambayo hapo hapo ni duara ipo, hata kama dhana ya kuwepo kwake ina contradiction.
 
Kiranga ndio maana huwa unaonekana kama watu hawawezi kujibu hoja it's because hutaki kuelewa wanachosema

Ni hivi nmeshasema separate existence ya Mungu from his contradictions/failures/decisions if at all they exist..... Nikisema kwamba assume GOD is incosistent meaning HE exists but at the same time he is incosistent sasa wwe ambacho unalazimisha kuwa ili aexist ni lazima asiwe incosistent na hapo ndipo hatuelewani

Kubali kwanza hicho kitu kinaexist alafu ndio uhoji kwanini anakuwa incosistent usilazimishe characteristic za kitu ziwe attached kwa existence ya hicho kitu

Mfano ukiona volcanic lava inatoka uji wa baridi je utasema sio volcanic lava kisa haipo consistent na lava reactions zingine zenye lava ya moto? Hapana lazima ukubali kuwa ile ni volcanic eruption then ndio uhoji je kwanni haipo consistent kama lava eruptions zingine

Nielewe hapo kwanza kiranga ndio tutasogea usifungamanishe characteristics ya kitu kutokuwa consistent thoughout its existence AND actual existence

I hope umeelewa nachosema..... Nasubiri utenganishe
 
Unaelewa kwamba ukisharuhusu logical inconsistency na contradiction, umeruhusu kauli yako ya kwamba Mungu yupo imaanishe kwamba Mungu hayupo?
 
Kiranga kiranga nlichotaka useparate kwanza God's existence and God's incosistence/contradictions ndio uhame hoja..... Ukishakubali ni vitu viwili tofauti ndio unahoji kwanini Mungu ana exist na bado anaruhusu majanga na blah blah zingine zitokee duniani baki hapo kwanza ukishatenganisha ndio uulize hilo swali lako lakini bado hufanyi hivyo tutafika kweli???
Nakuuliza, inakuwaje katika Euclidean geometry, ambapo tunajua pembetatu ina nyuzi 180, na duara lina nyuzi 360, kuwepo na pembetatu ambayo hapo hapo ni duara?

Unanijibu kuna uwezekano wa pembetatu kuwa duara hapo hapo katika Euclidean geometry, rejea hadithi za alfu lela ulela.

Onesha kivipi pembetatu inaweza kuwa duara hapo hapo. Usiniambie habary za myths.

Ukileta habari za myths, chochote kinaweza kuwa chochote na chochote hakiwezi kuwa chochote na chochote hakina maana yoyote na kina maana zote kwa wakati mmoja na wote na hata bila wakati!

Mkuu hoja ya Kiranga iko hapo![emoji115]......ukiweza kudadavua hiyo hoja hapo umemaliza kazi!....jibu kwanza hizo hoja hapo!
 
Mkuu hoja ya Kiranga iko hapo!
emoji115.png
......ukiweza kudadavua hiyo hoja hapo umemaliza kazi!....jibu kwanza hizo hoja hapo!
Mkuu nilishajibu hili swal
Nakuuliza, inakuwaje katika Euclidean geometry, ambapo tunajua pembetatu ina nyuzi 180, na duara lina nyuzi 360, kuwepo na pembetatu ambayo hapo hapo ni duara?

Unanijibu kuna uwezekano wa pembetatu kuwa duara hapo hapo katika Euclidean geometry, rejea hadithi za alfu lela ulela.

Onesha kivipi pembetatu inaweza kuwa duara hapo hapo. Usiniambie habary za myths.

Ukileta habari za myths, chochote kinaweza kuwa chochote na chochote hakiwezi kuwa chochote na chochote hakina maana yoyote na kina maana zote kwa wakati mmoja na wote na hata bila wakati!

Mkuu hoja ya Kiranga iko hapo![emoji115]......ukiweza kudadavua hiyo hoja hapo umemaliza kazi!....jibu kwanza hizo hoja hapo!
Mkuu nilishajibu nimesema soma post za page ya nyuma hapo utaona ila yeye amesema NAHUBIRI sio kujibu sasa cjui anataka nitoe sababu gani

Ni hivi
1. Kiranga amesema Hakuna Mungu kwa sababu character moja wapo ya MUNGU ni upendo hivo hayupo sababu kama yupo ilihali kuna EVIL duniani ina maana hana upendo hivyo concept ya uwepo wake inajicontradict hivyo Mungu hayupo!!!! Hiyo ndio initial hoja ya kiranga

Mie nikasema hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa yaani huwezi ukafungamanisha sababu za matatizo ya wanadamu na existence ya MUNGU ilihali ni vitu viwili vyenye sababu mbili tofauti.......nikupe mfano huwezi ukasema eti John sio mwanaume kisa siku moja alilala na mwanamke kitanda kimoja ila hakumfanya lolote!!! Does it make sense?? ila swali litamake sense ukisema KWANINI JOHN NI MWANAUME ILA ALISHINDWA KUMLALA YULE MWANAMKE???? sijui unaelewa nachotaka kusema

Sijui kwanni sieleweki nachotaka kusema...... Rephrase your theory ndio muulize sio kufungamanisha, nitoe mfano wa anachouliza kiranga kwa mara nyingine msiponielewa basi

Mfano natoa hoja shetani HAEXIST sababu sifa kuu ya shetani ni muovu hivo ina maana kama ni muovu mbona kuna wanadamu hawajui shida hasa wa ulimwengu wa kwanza na shetani hajawapa majanga/magonjwa/njaa.... hivyo kwakuwa hawana shida ina maana shetani sio muovu hivyo concept ya uwepo wa shetani imeshajicontradict thus shetani haexist!!!!!

Hivi hapo kuna mtu atanijibu kweli???

Mfundisheni Kiranga kuacha kucheza na lugha aulize maswali assertive sio kufungamanisha mambo mawili tofauti ili apunguze angle ya majibu that's insanity
 
Back
Top Bottom