Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Mimi nilikua naendaga sana kinu na hapo tume ya sayansi kwaio naelewa nini nachozungumza mkuu,,,Mkuu nakubaliana nawe kwa baadhi ya point za msingi ulizozianisha hapa, na nyingine sikubalin aiseee,
Kuna watu wasanii wanajituma na wana kazi nzuri, kuna vijana hao hapo buni na kinu wana bidhaa nzur tu, na sio kwamba wana chat tu FB kama unavyosema but, hawatoki ktk mainstream kama wenzao wa Kenya na Rwanda