Habari wadau.
Najua wengi tunaikumbuka hii Debate Topic "Is Education Better Than Money?
Kipindi tunashiriki hii debate tulikuwa wadogo na wategemezi. Nina imani sasa tumekuwa na tumeona mengi kwenye maisha.
Je wewe kama mzazi unaona lipi litamfaidisha sana mwanao akifikia umri wa kujitegemea na kukuona baba yake ama mama yake ulikuwa na akili sana.
Kumsomesha shule za private za milion 2 ama 3 mpaka milion 5 kwa mwaka toka chekechea mpaka la saba ama sekondari. Ama kumsomesha shule za serikali na kisha hizo milion 2 ama 3 ama 5 za ada yake kila mwaka ukawa unamnunulia Asset za kudumu kama viwanja na Ardhi kila mwaka sehemu tofauti.
Njia ipi hapo unaona itampa mtoto uhakika wa maisha.