Is Erick Omondi provoking the holy spirit?

Is Erick Omondi provoking the holy spirit?

Kuna ubaya gani sasa mbona germany, rome kila mwaka wanaadhimisha hivo wanaanza tangu ilivyo anza mwanzo mpaka mwisho msalabani kwani kajiita nani zaid ya mwiz haja mdhihaki mtu hapo kwani uongo wale wezi wawili hawakusulubiwa pamoja na Yesu dini sio ukatili na kukumbuka mateso sio dhambi angejiita masihi tusingemuelewa kajiita mwizi over
 
Mimi kinachoniuilizisha maswali kichwani ni kuwa hili tukio la kusulubiwa yesu huenda waliongeza chumvi,
yesu alisulubiwa na mwanamageuzi mmoja alieitwa Jesus baraaba,
kwa kiaramac BARABA maana yake "mtoto wa baba".
Bar-son of
Aba-father,

kwahiyo jesus Baraba maana yake ,"jesus the son of father".

Kuna watu walispinn hili tukio.
Barabbas or Jesus Barabbas(a Hellenization of the Aramaicbar abbaבר אבא, literally "son of the father" or "Jesus, son of the Father" respectively) is a figure mentioned in the accounts of the Passion of Christ, in which he is an insurrectionary whom Pontius Pilate freed at the Passoverfeast in Jerusalem, instead of releasing Jesus
 
Back
Top Bottom