Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Huyo anatania mambo sensitive kabisaHiyo ni act amefanya kwenye cover ya kuliko jana by saut Sol.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo anatania mambo sensitive kabisaHiyo ni act amefanya kwenye cover ya kuliko jana by saut Sol.
Madam nadhani hujaelewa lengo la omondi yeye amefanya cover na ukiangalia video ya hiyo cover hakuna sehemu ameingiza utaniHuyo anatania mambo sensitive kabisa
Utani wakujifanya kaangikwa msalabani mhhhh!!!!!Madam nadhani hujaelewa lengo la omondi yeye amefanya cover na ukiangalia video ya hiyo cover hakuna sehemu ameingiza utani
madam msalabani walikua wanatundikwa wahalifu wote huyu kafanya maigizo.Utani wakujifanya kaangikwa msalabani mhhhh!!!!!
Mkuu ina maana hio picha sio matusi.
Utabiri wako umeenda kombo... naona jamaa anapeta tuTukumbushane mwakani majira kama haya uone atakuwa wapi! Mungu hadhihakiwi