Is forex difficult to learn?

Dit000

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
710
Reaction score
1,041
ONGEZA MAALIFA KIDOGO, WANAUCHUMI KARIBU KWA MAONI.

Hili game ni mfano wa kundi la watu watano( hapa namanisha banks,commercial banks, hedge funds n.k), wamekaa chini wamedesign system inayopanda na kushuka( hapa namaanisha ECN network) kutokana na transactions zinazofanyika humo.

Sasa anatokea mtu wa sita anadesign na yeye system yake(hapa namanisha MT5/MT4) , kukuwezesha wewe ufanye utabiri juu ya ile system iliyotengenezwa na wale watu watano, huyo mtu wa sita anakuambia nakupa only two resources kukusaidia kufanya wewe utabiri yakinifu, moja anakupa ECONOMIC calender hii itakupa taarifa zote zitakazotokea amabazo huwa zinaaffect system ya watu wale watano , mbili anakupa CANDLESTICTCS hii itakusaidia kujua historia ya matukio yote kila sekunde moja na pia kitu gani kinafanyika sasa hivi, ila haitakupa 100% matukio gani yatafanyika baadae

Sasa wewe unaanza kutumia hizo tools mbili kufanya uchambuzi yakinifu juu ya kile kinachoendelea kwenye ile system ya watu watano, kumbuka ACTION yoyote au TUKIO lolote linalotokea kwenye ile system ya watu watano ni kwababu ya wale watu kufanya MAAMUZI kwamba system muda huu iende upande gani, sasa wewe unapewa hizo tools na yule mtu wa sita(huyu kwa picha halisi ni BROKER) uzitumie kutabiri wale watu watano watafanya nini after one second,minute,hours,day,week,month later

Sasa GAME linakuwa na ugumu unapofanya uchambuzi na kuilazimishaa system itii kile ulicho kitabiri wewe, umesahau kuwa tukio lolote linalotokea kwenye system ni kwababu ya MAAMUZI ya wale watu watano(Hapa ndo BANKS,hedge funds,commercial banks n.k) na hiyo system yao nazani inaitwa ECN network, Na system ya yule mtu wa sita ambaye ni broker nazani inaitwa MT5 or MT4.

Maswali ya kujiuliza

  1. Je kama wewe ni SPECULATOR do you real access the ECN network where global currencies are exchanged from one form to another, because your not exchanging real currency, your are speculationing the PRICE Movement of currencies.
  2. Don’t you think that there are two differentiate system operating in different ways here I mean ECN network and MT4/MT5 ,I think this mt5/mt4 designed for speculative purposes where retail traders they use it creating bets for movements of prices
  3. Je hujiulizi unafanya uchambuzi juu ya MAAMUZI yanayofanywa na watu wengine?? Je maamuzi unayofanya yasipotokea, what your MIND think??
  4. je ufanye nini in long run uwe mshindi?
    Ni vitu viwili tu, vitakufanya uwe mshindi in long run moja ni RISK MANAGEMNT, mbili ni MONEY MANAGEMENT why?? Kwasababu all those they are in CONTROL, what about strategy?, ni ngumu sana kila muda kupata positive direction juu ya mwelekeo wa market kwa sababu MARKET DIRECTION is out in your CONTROL

    USHAULI
    Focus for all stuffs you can CONTROL and not for those which is out of your CONTROL

    JIONI NJEMA.
 
Utapeli haueleweki kirahisi.
Kanunu ya utapeli ni hiiii mathatically

 
Kama huwezi ku-anticipate with high probability MAAMUZI ya wale watu watano(Hapa ndo BANKS,hedge funds,commercial banks n.k) based on common theories,assumptions,laws na kadhalika za mambo ambayo huwa yanafanya hawa miamba kufanya decision za direction ya soko kama vile liquidity,institutional reference points,institutional order flows,institutional sponsorship,open interest,seasonal tendency,quarter shift na kadhalika usitrade forex kwa kuwa utakuwa unapoteza muda wako.

Cha msingi uweze ku-anticipate maamuzi ya hao miamba watano katika direction ya soko with high probability and it comes with knowledge plus experience.
 
achana na mavitabu hayo na ma theory ya kijinga Bila kuchoma akaunti kumi kwenye forex wewe bado siyo trader.
kweli kuu siwahi tumia demo, nafanya trials kwa real money nachoma lakini sikomi najifunza kupitia makosaa
 
nacut and paste key point, antcipate the decision made by those who run the ECN networks, kwa kutumia whatever methodology aidha uchawi,hesabu,imani,ujanja,umbea n.k ndipo unakuwa na probabilty kubwa ya kushinda, kujifunza kumjua binadamu bubu anafikiria nini rohoni mwake pasipo kuongea ni elimu ngumu sanaa , nayenyewe iheshimiwe, mtu ukimuona anatengeza pesa yuko kitandani sio kazi rahisi, ni mental works sometime dish linaweza yumbaa, watu wanajua tu physcal works ndo legally, ahaaaa!

go and learn types of works(civics kidato cha pili)
what are categories of mental works
malizia na physical works

utaona speculation is mental works, mtu anafanya kazi akiwa kakodoa macho tu unamuona katulia kumbe kichwani mwake kuna vita inafanyika, akili imepewa atask ya kujua what banks do in their cash ocean akiri inafikri hadi lastic limit, inakuambia nimeshindwa mr, unaikomand tena unaimbia jalibu tenaa sometimes unaiweka katika risk ya kushake, na ukishake teali kichaa so unatumia akili nyingi than normal

the market move due to supply and demands making decision

I LOVE FOREX , ingawa am not profitable
 
Wazee wa candle stick nakubliana nanyi
ikipita siku moja macho hayajatazama candles nauguaa
 
Kutengeneza mamilioni kwa forexi ni kama kumsukuma mlevi...ila watalamu wana kauli yao huwa wanasema forexi is not for everyone🤣
aahaaa, kwamba kumusukuma mlevi dah maana ake ni impossible , my imagination say is possible although some time my mind not argue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…